Utekaji Albino, chunguzi waendelea dhidi ya wahusika Mwanza.
Na Ester Nangale,
Mwanza
Kukithiri kwa vitendo vya ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi albinism umekuwa ni janga la kitaifa linalozidi kuleta hofu miongoni mwa jamii na kutishia kupotea sifa ya nchi ya Tanzania ya kisiwa cha amani.
Bado watu hawa wanadaiwa kuishi kwa hofu bila ya kuwa na uhakika wa kuiona kesho kutokana na vitendo hivi kukithiri na wahusika wa vitendo hivyo kushindwa kubainika na kuchukuliwa hatua stahiki ndani ya muda muafaka.
Walemavu wa ngozi wamezidi kupaza...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo26 Feb
Hoteli yahusishwa utekaji wa albino Pendo
MTOTO Pendo Emmanuel (4) mwenye ulemavu wa ngozi, aliyetekwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana nyumbani kwao wilayani Kwimba, imegundulika alihifadhiwa katika hoteli moja ya kifahari jijini Mwanza, kabla ya kukabidhiwa kwa watu wengine, walioondoka naye kusikojulikana.
10 years ago
StarTV18 Feb
Utekaji Albino, Hofu yaendelea kutanda kwa jamii.
Na Rogers Willium,
Mwanza.
Wakati jeshi la polisi nchini likihangaika kumtafuta mtoto Pendo Emanuel mwenye ulemavu wa Ngozi baada ya kutekwa na watu wasiofahamika desemba 27 mwaka jana, mtoto mwingine wa mwaka mmoja Yohana Bahati ametekwa mkoani Geita.
Mtoto huyo ametekwa usiku wa kuamkia siku ya jumatatu nyumbani kwao katika kijiji cha Ilelema Wilaya ya Chato na watu wasiofahamika.
Matukio yote haya yanafanyika ndani ya siku 50 na hivyo kuleta hofu katika jamii hususan kwa watu...
9 years ago
StarTV03 Jan
Uchafuzi Wa Mazingira Mwanza Hatua kali kuchukuliwa kwa wahusika
Kamati ya usafi wa mazingira ya Pasiansi Mashariki imeitaka halmashauri ya jiji la Mwanza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu wale wote wanaohusika kuchafua mazingira na kuhatarisha maisha ya watu.
Ni kutokana na kuwepo kwa baadhi ya watu ambao wanadaiwa kutiririsha maji taka na vinyesi katika mitaro inayotiririshamaji kuelekea katika Ziwa Viktoria.
Haya yanajiri katika ziara ya kushtukiza iliyofanywa na diwani wa kata ya Kawekamo wilayani Ilemela jijini Mwanza Japhesi Joel pamoja na kamati...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OJYzeoRU9A0/VQL0_RFAA1I/AAAAAAAHKGU/u9MrFpd22B0/s72-c/DSC_0621.jpg)
Polisi waendelea na uchunguzi dhidi ya Mlinzi wa Katibu Mkuu wa CHADEMA
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linaendelea na uchunguzi dhidi ya Mlinzi wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Dk.Wilbrod Slaa anayedaiwa kufanya njama ya kumuua kwa sumu, Bw. Khalid Kagezi.
Akizungumza na waandishi wa habari leo,Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova amesema wamechukua maelezo kwa Katibu Mkuu Dk.Wilbrod Slaa pamoja na maelezo ya mlizi wake Khalid Kagezi.Kamishina Kova amesema...
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Usafiri wa meli waendelea kutesa abiria Mwanza, Kagera
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Kampeni dhidi ya ubaguzi wa albino
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Vita dhidi ya mauaji ya Albino TZ
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
UN yakemea mashambulizi dhidi ya Albino
10 years ago
MichuziMwongozo wa mh. Al Shaimaa bungeni dhidi ya albino
Al-Shaimaa aliyasema hayo bungeni jana wakati akitoa maelezo binafsi kwa kupitia Kanuni ya Kudumu ya Bunge ya (50) 1 inayomtaka mbunge kwa ruhusa ya Spika kutoa maelezo binafsi yanayomhusu au...