Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMULIZI: Huzuni, hofu vyatesa familia ya albino aliyetekwa, kuuawa -2

>Shija anasema yeye ni mtoto wa tatu kuzaliwa kwa baba na mama yake, walizaliwa watoto wanane, kati ya hao wanne ni albino, lakini kati ya albino hao wawili wamekufa, hivyo wamebaki wawili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DKT. MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MAMA MZAZI WA ALBINO ALIYETEKWA NA KUUAWA

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Dkt. John Pombe Magufuli amelaani vikali tukio la kikatili la kutekwa na kuuawa kwa mtoto Yohana Bahati pamoja na kujeruhiwa vibaya kwa mama mzazi wa marehemu na watu wasiofahamika.
Akizungumza kwa masikitiko makubwa jijini Dar es Salaam, Dkt.Magufuli amewataka Watanzania kuishi kwa amani na upendo na kuacha dhana ya kutajirika kutokana na viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino).
“Tukio hili ni la kinyama na halikubaliki popote...

 

10 years ago

Mwananchi

Familia ya aliyetekwa walia na polisi, watekaji

>Sintofahamu ya alipo muuguzi wa Mwananyamala, Pili Amiri imeendelea kuigubika familia ya muuguzi huyo na Jeshi la Polisi baada ya watekaji hao kushindwa kumuachia huru licha ya kupewa Sh5 milioni walichotaka.

 

10 years ago

Habarileo

Albino aliyetekwa aumiza kichwa cha RC

Mkuu mpya wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo.MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo amesema leo atakuwa na mkutano utakaompa hali halisi ya utekelezaji wa agizo alilotoa la kutafutwa kwa mtoto wenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel (4) aliyetekwa na watu wasiojulikana katika kijiji cha Ndamiwilayani, Kwimba mkoani hapa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hashish: familia ya wanne kuuawa Saudia

Hashish:Watu wanne wa familia moja kunyongwa Saudi Arabia

 

10 years ago

Mwananchi

TAFRANI BURUNDI: Hofu yatanda kuuawa kiongozi wa upinzani

>Huku Serikali ikikanusha kuhusika katika mauaji ya kiongozi wa upinzani wa Burundi, baadhi ya makundi ya kisiasa yameanza kuingiwa na wasiwasi kuhusiana na hatima ya kisiasa ya nchi hiyo, wiki moja baada ya Rais Pierre Nkurunziza kusogeza mbele tarehe uchaguzi wa wabunge.

 

10 years ago

GPL

FAMILIA KUTEKETEA KWA MOTO SIMULIZI YAKE INATISHA!

Na Haruni Sanchawa/Uwazi SIMULIZI ya vifo vya watu sita wa familia moja waliopoteza maisha kwa ajali ya moto huko Kipunguni jijini Dar es Salaam wiki iliyopita inatisha, baada ya majirani kuanika ushuhuda waliousikia dakika chache kabla ya wapendwa hao kukata pumzi, Uwazi lina habari kamili. Nyumba iliyoteketea kwa moto na kusababisha vifo vya watu sita. Katika ajali hiyo, Kapteni mstaafu wa JWTZ, David Mpira, mkewe, watoto wao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Albino bado wanaishi kwa hofu TZ

Kampenzi kubwa imezinduliwa nchini Tanzania,ikiongozwa na Raisi Jakaya Kikwete,kutafuta fedha kwa ajili ya kuwalinda watu wenye ulemavu wa ngozi maarufu kama albino.

 

10 years ago

Tanzania Daima

ACT: Udhaifu unachangia albino kuishi kwa hofu

MWENYEKITI wa Chama cha Alliance for Change and Transparence (ACT-Tanzania), Kadawi Limbu, amesema udhaifu wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kuwalinda raia na mali zao kumechangia baadhi ya...

 

9 years ago

StarTV

Hofu yasababisha Albino kushindwa kuhudhuria mikutano ya kampeni.

 

Watu wenye ulemavu wa ngozi Albino mkoani Mara wamesema licha ya kuwa na haki ya kuhudhuria mikutano ya kampeni kusikiliza sera za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wamekuwa wakikosa fursa hiyo kutokana na kuhofia usalama wa maisha yao.

Wamesema licha ya Serikali na vyombo vingine kukemea vitendo wa kikatili wanavyofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi ikiwemo kutekwa na kuuawa kikatili na kisha kunyofolewa baadhi ya viungo lakini bado kuna baadhi ya watu wanaendeleza vitendo hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani