Albino aliyetekwa aumiza kichwa cha RC
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo amesema leo atakuwa na mkutano utakaompa hali halisi ya utekelezaji wa agizo alilotoa la kutafutwa kwa mtoto wenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel (4) aliyetekwa na watu wasiojulikana katika kijiji cha Ndamiwilayani, Kwimba mkoani hapa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Feb
SIMULIZI: Huzuni, hofu vyatesa familia ya albino aliyetekwa, kuuawa -2
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-lJRHJ_ELMbA/VOhaablsH9I/AAAAAAAHE6I/ru4n-3-gc0M/s72-c/unnamed%2B(20).jpg)
DKT. MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MAMA MZAZI WA ALBINO ALIYETEKWA NA KUUAWA
Akizungumza kwa masikitiko makubwa jijini Dar es Salaam, Dkt.Magufuli amewataka Watanzania kuishi kwa amani na upendo na kuacha dhana ya kutajirika kutokana na viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino).
“Tukio hili ni la kinyama na halikubaliki popote...
10 years ago
Vijimambo18 Feb
Mama aliyeporwa mtoto albino afanyiwa upasuaji wa kichwa
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2627310/highRes/948169/-/maxw/600/-/ni76wr/-/albino.jpg)
Geita/Dar. Mama wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ambaye alitekwa juzi na watu wasiofahamika mkoani Geita, amefanyiwa upasuaji wa kichwa na jopo la madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC) mjini Mwanza.Mama huyo aliyefahamika kwa jina la Ester Jonas (30), alilazimika kufanyiwa upasuaji huo...
10 years ago
Mwananchi18 Feb
Mama aliyeporwa mtoto albino afanyiwa upasuaji wa kichwa
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/n7Vr5lDn5dE/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Ukawa wataka kichwa cha Muhongo
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Mar
Sangoma akamatwa na kichwa cha mtu
Na Abdallah Amiri, Igunga
WAKATI kamatakamata ya waganga wa kienyeji ikiendelea kupamba moto katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, mmoja amenaswa akiwa na viungo vya binadamu, kikiwemo kichwa ambacho bado kilikuwa na nywele zake.
Mganga huyo, Nyamizi Makunga (70), mkazi wa Kijiji cha Igurubi wilayani Igunga, Tabora, alitiwa mbaroni juzi. Mbali na viungo hivyo, pia alikutwa na vifaa vingine, zikiwemo nyara za serikali.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Igurubi, George Henry, alisema Makunga alikamatwa nyumbani...
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Donald Mwakamele: Umeme si kitu cha kusumbua kichwa miaka yote
HAKUNA asiyefahamu kuwa uchumi wa nchi unategemea suala zima la upatikanaji wa umeme wa uhakika. Hivyo kila kukicha wataalamu mbalimbali wa masuala ya umeme wamekuwa wakitoa maoni yao nini kifanyike,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A1Qs8*3Ts4wtdGS2Zm9CK88JI*QY2QsOfHip4fFVf1cBCI2i8DwlSCdIwlM*SjiA3txGHTxh6I9aVFD8QZEjlkef2-sM5azP/UPASUAJI.jpg)
MAMA: KIPIGO CHA BABA YAKE KIMESABABISHA MTOTO AFANYIWE UPASUAJI WA KICHWA