Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sangoma akamatwa na kichwa cha mtu


Na Abdallah Amiri, Igunga
WAKATI kamatakamata ya waganga wa kienyeji ikiendelea kupamba moto katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, mmoja amenaswa akiwa na viungo vya binadamu, kikiwemo kichwa ambacho bado kilikuwa na nywele zake.
Mganga huyo, Nyamizi Makunga (70), mkazi wa Kijiji cha Igurubi wilayani Igunga, Tabora, alitiwa mbaroni juzi. Mbali na viungo hivyo, pia alikutwa na vifaa vingine, zikiwemo nyara za serikali.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Igurubi, George Henry, alisema Makunga alikamatwa nyumbani...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HUKU AKISAKWA KUMPASUA KICHWA MTU TID AMPIGA MENEJA WAKE

ISSA MNALLY PEPO la ugomvi linazidi kumuandama staa wa Bongo Fleva, Khaleed Mohamed ‘TID’, baada ya kusakwa na jeshi la polisi kwa kosa la kumjeruhi mtu mwishoni mwa wiki iliyopita, msanii huyo ametengeneza kicha cha habari kwa mara nyingine akidaiwa kumpiga meneja wake aliyefahamika kwa jina la Tall Mnyama. Staa wa Bongo Fleva, Khaleed Mohamed ‘TID’. Katika tukio la awali, TID alidaiwa kutembeza...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtu mwenye silaha akamatwa Ufaransa

Mtu aliyekuwa amejihami vikali ameshindwa nguvu na abiria kwenye treni moja ya mwendo wa kasi nchini Ufaransa

 

10 years ago

CloudsFM

Young Thug akamatwa kwa kosa la kutishia kumpiga mtu risasi.

Rapper kutoka Atlanta, Young Thug amewekwa chini ya ulinzi mapema siku ya jana huko Sandy Springs, Georgia baada ya kutishia kumpiga risasi mlinzi wa mall.

July 7, Jeffrey Williams au Young Thug alifanya vurugu  kwenye mall hiyo   “ upscale Perimeter Mall” ambapo alitishia kumpiga risasi ya uso mlinzi aliyekua akimtoa nje.

Young thug ni mmoja ya wasanii watakovaa steji ya tuzo za “MTV MAMA” Jumamosi hii.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa wataka kichwa cha Muhongo

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umelitaka Bunge kuiwajibisha Serikali ikiwa Rais Jakaya Kikwete atashindwa kutekeleza maazimio ya Bunge ikiwamo kumng’oa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.

 

10 years ago

Habarileo

Albino aliyetekwa aumiza kichwa cha RC

Mkuu mpya wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo.MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo amesema leo atakuwa na mkutano utakaompa hali halisi ya utekelezaji wa agizo alilotoa la kutafutwa kwa mtoto wenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel (4) aliyetekwa na watu wasiojulikana katika kijiji cha Ndamiwilayani, Kwimba mkoani hapa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Donald Mwakamele: Umeme si kitu cha kusumbua kichwa miaka yote

HAKUNA asiyefahamu kuwa uchumi wa nchi unategemea suala zima la upatikanaji wa umeme wa uhakika. Hivyo kila kukicha wataalamu mbalimbali wa masuala ya umeme wamekuwa wakitoa maoni yao nini kifanyike,...

 

10 years ago

GPL

MAMA: KIPIGO CHA BABA YAKE KIMESABABISHA MTOTO AFANYIWE UPASUAJI WA KICHWA

Stori: Mayasa mariwata na Haruni Sanchawa
KATIKA hali ambayo siyo ya kawaida iliyowashangaza wakazi wa eneo la Ukonga Mazizini kwa Makobe, baba  mmoja aliyefahamika kwa jina la Elisha Zakari amedaiwa kumpiga mwanaye wa kumzaa kipigo kama cha ng’ombe machungani na kusababisha azimie na kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto Amani Elisha (10) aliyepigwa vibaya na baba yake mzazi hadi kuzimia kwa siku mbili. ...

 

10 years ago

GPL

KIBAKA ALIYETOROKA KITUO CHA POLISI TABATA, DAR AKAMATWA

Mwizi aliyetoroka kituo cha akiwa chini ya ulinzi wa raia wenye hasira kali maeneo ya vingunguti msimbazi. Raia wakipanga kumchoma moto kibaka huyo. Na waandishin wetu Kibaka aliyetoroka kituo cha polisi Tabata hatimaye kukukamatwa majira ya saa tano asubuhi maeneo ya msimbazi vingunguti na kurudishwa…

 

11 years ago

GPL

SANGOMA AAIBIKA!

Na Richard Bukos na Issa Mnally Ama kweli uswazi hakuishi vijimambo! Mganga wa jadi almaarufu sangoma aliyetajwa kwa jina la Wadebi Jinasa amepata aibu ya karne baada ya kunaswa ‘live’ na wake za watu kwenye gesti moja (jina linahifadhiwa) iliyopo Tandika jijini Dar es Salaam. Mganga wa jadi almaarufu sangoma aliyetajwa kwa jina la Wadebi akijutia baada ya kunaswa live.
Tukio hilo la aina yake lilijiri maeneo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani