Ukawa wataka kichwa cha Muhongo
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umelitaka Bunge kuiwajibisha Serikali ikiwa Rais Jakaya Kikwete atashindwa kutekeleza maazimio ya Bunge ikiwamo kumng’oa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo02 Aug
Ukawa sasa pasua kichwa
LICHA ya agizo la Rais Jakaya Kikwete la kuwataka viongozi wa vyama vya siasa na wafuasi wao, wanaounda kundi la Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA), kuacha kususa na kurejea katika vikao vya Bunge Maalumu la Katiba ili kuendelea na mchakato huo, kufikia jana hakukuwa na mwelekeo wa kulegeza msimamo wao.
10 years ago
Habarileo21 Apr
Majimbo yapasua kichwa wana-Ukawa
HATIMA ya kuachiana kwa majimbo ya uchaguzi kwa vyama vya siasa vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), inatarajiwa kujulikana wiki ijayo.
10 years ago
Mwananchi29 Oct
Rais aipasua kichwa Ukawa 2015
11 years ago
Mwananchi07 May
Kamati Kuu CCM yakuna kichwa kuikabili Ukawa
10 years ago
Vijimambo19 Jan
Ukawa: Muhongo, Werema, Tibaijuka wafikishwe kortini
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/kafulila-19Jan2015.jpg)
Wakati maazimio nane yaliyotolewa na Bunge kwenye mkutano wa 16 na 17 mwishoni mwa mwaka jana kuhusiana na kashfa ya uchotwaji fedha zaidi ya Sh. Bilioni 300 za akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yakiwa hayajatekelezwa yote, Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, amesema watu waliofikishwa mahakamani katika sakata hilo ni dagaa tu na kwamba kambare (vigogo) wanaendelea kutanua.
Aidha, wabunge...
11 years ago
Habarileo30 Jul
Waislamu wataka Ukawa warudi bungeni
WAISLAMU nchini wamewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kurudi katika Bunge Maalumu la Katiba.
10 years ago
Mwananchi11 Dec
NEC wataka JWTZ, Ukawa wapinga
10 years ago
Habarileo25 Dec
UKAWA wataka sheria ya maadili inayodhibiti uovu
VYAMA vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), vimetaka sheria ya maadili itungwe upya ili kuweka uwazi wa watu wote kuona taarifa ya mali za viongozi.
11 years ago
Mwananchi18 May
Ukawa wataka kuungwa mkono Katiba Mpya