Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC wataka JWTZ, Ukawa wapinga

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imetaka uboreshwaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura usimamiwe na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, WAPINGA RUSHWA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015.

 Mtoa mada Awadh Ali Said, akitoa mada kuhusu muungano na umuhimu wa kuzingatia misingi ya amani katika mdahalo huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere ambao ulifanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Mtoa mada Dk. Humphrey Polepole akitoa mada kuhusu kuzingatia misingi ya amani na umoja wa taifa letu kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akitoa majumuisho ya jumla juu ya dhima ya mdahalo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Watoto wa Lowasa’, UKAWA wapinga CWBK

UMOJA wa madereva wa Pikipiki za kubeba abiria maarufu kama ‘Bodaboda’ katika Manispaa ya Moshi,  umeutaka Uongozi wa chama cha wamiliki na madereva wa vyombo hivyo mkoani Kilimanjaro (CWBK) kuthibitisha...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wapinga ushindi wa CCM majimbo sita

Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa); NCCR – Mageuzi na Chadema vimefungua kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge katika majimbo sita.

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wapinga hotuba ya rais bila matokeo ya Z’bar

Vyama vinavyounda Ukawa wamesema wamwandikia Spika wa Bunge, Job Ndugai barua kutaka kujua uhalali wa Rais John Magufuli kuhutubia Bunge bila matokeo Rais wa Zanzibar kujulikana. 

 

9 years ago

Mwananchi

Wasioona wataka NEC iwaelimishe

Chama cha Wasioona Tanzania Mkoa wa Shinyanga, kimeiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), itoe elimu ya maandishi ya nukta nundu yatakayotumiwa siku ya uchaguzi na walemavu hao.

 

11 years ago

Habarileo

Waislamu wataka Ukawa warudi bungeni

WAISLAMU nchini wamewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kurudi katika Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa wataka kichwa cha Muhongo

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umelitaka Bunge kuiwajibisha Serikali ikiwa Rais Jakaya Kikwete atashindwa kutekeleza maazimio ya Bunge ikiwamo kumng’oa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.

 

10 years ago

Habarileo

UKAWA wataka sheria ya maadili inayodhibiti uovu

Viongozi wa Ukawa.VYAMA vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), vimetaka sheria ya maadili itungwe upya ili kuweka uwazi wa watu wote kuona taarifa ya mali za viongozi.

 

10 years ago

Vijimambo

Ukawa wataka Maalim Seif awe makamu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimependekeza kwamba Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Shariff Hamad, anapaswa kuwa mgombea mwenza wa Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Raia Mwema linafahamu.
Hata hivyo, pendekezo hilo limekataliwa na chama anachotoka Maalim Seif, yaani Chama cha Wananchi (CUF), kwa maelezo kwamba muda wa kujadili mambo hayo haujafika bado.
Gazeti hili linafahamu pia kwamba pendekezo hilo la Chadema liliwasilishwa kwanza na Mwenyekiti wa Chadema,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani