Ukawa wapinga hotuba ya rais bila matokeo ya Z’bar
Vyama vinavyounda Ukawa wamesema wamwandikia Spika wa Bunge, Job Ndugai barua kutaka kujua uhalali wa Rais John Magufuli kuhutubia Bunge bila matokeo Rais wa Zanzibar kujulikana.Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Mar
Wapinzani wapinga hotuba ya JK
>Wenyeviti wa vyama vya Upinzani vya Chadema, Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha NCCR-Mageuzi, jana usiku walikutana ili kutoa kauli ya pamoja, kutokana na hotuba ya ufunguzi wa Bunge kwa maelezo kuwa tayari Rais amevuruga mchakato mzima wa kupata Katiba Mpya.
11 years ago
Mwananchi08 Jul
Wanasheria wapinga kufutwa kesi Z’bar
>Siku tano tangu Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othmana Makungu afute kesi ya kuzama kwa Meli ya Mv Spice Islanders, wanasheria wameibuka na kusema haikuwa mwafaka kesi hiyo kufutwa kwa sababu ya hati ya mashtaka kutowasilisha kwa wakati mahakamani.
9 years ago
BBCSwahili15 Oct
Upinzani wapinga matokeo ya uchaguzi Guinea
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Guinea amejiondoa katika uchaguzi uliofanyika nchini humo akisema kuwa kulikuwa na udanganyifu mkubwa
10 years ago
Mwananchi11 Dec
NEC wataka JWTZ, Ukawa wapinga
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imetaka uboreshwaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura usimamiwe na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
‘Watoto wa Lowasa’, UKAWA wapinga CWBK
UMOJA wa madereva wa Pikipiki za kubeba abiria maarufu kama ‘Bodaboda’ katika Manispaa ya Moshi, umeutaka Uongozi wa chama cha wamiliki na madereva wa vyombo hivyo mkoani Kilimanjaro (CWBK) kuthibitisha...
9 years ago
Mwananchi18 Nov
Ukawa wapinga ushindi wa CCM majimbo sita
Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa); NCCR – Mageuzi na Chadema vimefungua kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge katika majimbo sita.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-etrM97_pZhs/VaKBmms-CmI/AAAAAAAAI5k/aNAL0lQYCVQ/s72-c/Migiro.jpg)
Hotuba Ya Dr Asha - Rose Migiro Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-etrM97_pZhs/VaKBmms-CmI/AAAAAAAAI5k/aNAL0lQYCVQ/s640/Migiro.jpg)
Dr Migiro alishika nafasi ya tatu katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na Balozi Amina Salum Ali
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-jS1MAW06Oco/VaKFHi8hg7I/AAAAAAAAI54/PymvAqkgdsM/s72-c/Untitled.jpg)
Hotuba Ya Balozi Amina Salum Ali Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-jS1MAW06Oco/VaKFHi8hg7I/AAAAAAAAI54/PymvAqkgdsM/s640/Untitled.jpg)
Balozi Amina alishika nafasi ya pili katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na mbele ya Dr Asha-Rose Migiro
10 years ago
TheCitizen15 Feb
Ukawa for clash in Z’bar presidency
Ukawa, a political outfit bringing together four political parties, is heading for a clash in Zanzibar following a decision by two of its member parties to show intention of nominating presidential candidates.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania