Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hotuba Ya Dr Asha - Rose Migiro Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015

Hotuba ya Mhe Dk. Asha-Rose Migiro akikubali matokeo ya mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ambao ulikuwa ukimchagua mgombea wa nafasi ya urais.
Dr Migiro alishika nafasi ya tatu katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na Balozi Amina Salum Ali

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Hotuba Ya Balozi Amina Salum Ali Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015

Hotuba ya Mhe Balozi Amina Salum Ali akikubali matokeo ya mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ambao ulikuwa ukimchagua mgombea wa nafasi ya urais.
Balozi Amina alishika nafasi ya pili katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na mbele ya Dr Asha-Rose Migiro

 

10 years ago

Mwananchi

10 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba Ya Dr Ali Mohamed Shein kukubali kuwa mgombea wa CCM 2015

Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe Dk Ali Mohamed Shein akihutubia wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm 2015 huko Dodoma wakati akikubali ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba Ya Mwenyekiti Wa CCM Taifa Mhe. Jakaya Kikwete kufunga Mkutano Mkuu wa chama 2015

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Mwenyekiti wa CCM Taifa akifunga mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika Dodoma.
Ni katika mkutano huu ambapo chama hicho kilimchagua Dr John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM
Hii inakuwa mara ya mwisho kwa Mhe Kikwete kuwahutubia wajumbe wa mkutano huo akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba ya Dr John Pombe Magufuli kukubali kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM 2015

Mhe Dk John Pombe Magufuli akihutubia wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM 2015 huko Dodoma wakati akikubali ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kama mgombea wa uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015


 

11 years ago

Michuzi

DKT. ASHA-ROSE MIGIRO ALIVYOPOKELEWA KWA FURAHA UMOJA WA MATAIFA

Ili kuwa ni hafla ya aina yake iliyojaa tabasamu, kukumbatiana na maneno ya " welcome back, good to see you again, we have missed you" yakitawala wakati Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Dkt. Asha- Rose Migiro alipofika Ofisini kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon na kisha kukutana na kubadilishana mawazo na Katibu Mkuu mwenyewe wakianza na mazungumzo ya faragha kati yao wawili na kisha kujumuika na wafanyakazi wa Ofisi Binfasi ya Katibu Mkuu na Ofisi Binafsi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani