Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hotuba Ya Mwenyekiti Wa CCM Taifa Mhe. Jakaya Kikwete kufunga Mkutano Mkuu wa chama 2015

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Mwenyekiti wa CCM Taifa akifunga mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika Dodoma.
Ni katika mkutano huu ambapo chama hicho kilimchagua Dr John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM
Hii inakuwa mara ya mwisho kwa Mhe Kikwete kuwahutubia wajumbe wa mkutano huo akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA CCM DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AENDELEA KUIMARISHA CHAMA.

Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibu Wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi, Ndugu Nape Nnauye na Katibu wa Halmashauri Kuu Oganaizesheni Ndg Mohamed Seif Hatibu katika ofisi yake Makao Makuu ya CCM, ofisi ndogo ya Lumumba jijini Dar es salaam, leo tarehe 26th Nov 2015.
Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwanasheria wa CCM Ndg Godwin Kunambi nje ya Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es salaam, leo tarehe 26th Nov 2015.

 

5 years ago

Michuzi

FORUMCC KUWAKUTANISHA WADAU WA MAZINGIRA ZAIDI YA 200 KATIKA MKUTANO MKUU WA SITA, RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KUTOA HOTUBA


Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii

RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Jakaya Kikwete anatarajiwa kutoa hotuba katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Mabadiliko ya Tabianchi unaotarajiwa kufanyika Machi 25 hadi 26 mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo wadau zaidi ya 200 wanatarajiwa kuhudhuriwa mkutano huo.
Mkutano huo umeandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la FORUMCC linalojihusisha na kuleta ushawishi wa kuchukua hatua...

 

9 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA CCM, AKUTANA NA MWAKILISHI WA BENKI YA DUNIA

 Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa jijini Dar es salaam leo Desemba 7, 2015.  Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati...

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba Ya Dr Asha - Rose Migiro Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015

Hotuba ya Mhe Dk. Asha-Rose Migiro akikubali matokeo ya mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ambao ulikuwa ukimchagua mgombea wa nafasi ya urais.
Dr Migiro alishika nafasi ya tatu katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na Balozi Amina Salum Ali

 

5 years ago

CCM Blog

HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MHE. JAJI WA RUFAA (MST) SEMISTOCLES KAIJAGE KWENYE MKUTANO WA TUME NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MWL. NYERERE TAREHE 23 MACHI, 2020







•           Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,•           Waheshimiwa Wajumbe wa Tume,•           Mkurugenzi wa Uchaguzi,•           Msajili wa Vyama vya Siasa,•           Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa,•           Viongozi wa Vyama vya Siasa,•           Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu,•           Inspekta Jenerali wa Polisi,•           Kamishna Mkuu wa Uhamiaji•           Watendaji wa Tume,•           Waandishi wa Habari,•           Mabibi na Mabwana
Bwana...

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba Ya Balozi Amina Salum Ali Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015

Hotuba ya Mhe Balozi Amina Salum Ali akikubali matokeo ya mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ambao ulikuwa ukimchagua mgombea wa nafasi ya urais.
Balozi Amina alishika nafasi ya pili katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na mbele ya Dr Asha-Rose Migiro

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani