Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hotuba Ya Dr Ali Mohamed Shein kukubali kuwa mgombea wa CCM 2015

Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe Dk Ali Mohamed Shein akihutubia wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm 2015 huko Dodoma wakati akikubali ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Hotuba ya Dr John Pombe Magufuli kukubali kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM 2015

Mhe Dk John Pombe Magufuli akihutubia wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM 2015 huko Dodoma wakati akikubali ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kama mgombea wa uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015


 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba Ya Balozi Amina Salum Ali Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015

Hotuba ya Mhe Balozi Amina Salum Ali akikubali matokeo ya mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ambao ulikuwa ukimchagua mgombea wa nafasi ya urais.
Balozi Amina alishika nafasi ya pili katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na mbele ya Dr Asha-Rose Migiro

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA KAMPENI YA MGOMBEA WA URAIS CCM DK ALI MOHAMED SHEIN,JIMBO LA MKOANI PEMBA

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya mkutano vya Chokocho Wilaya ya Mkoani Pemba kwa ajili ya kampeni yake kwa wananchi wa Jimbo hilo la Mkoani.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Shein, akiwahutubia Wananchi wa Pemba katika mkutano wake wa Kampeni kisiwani huo uliofanyika katika viwanja vya mpira...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa Kampeni za Mgombea wa Urais CCM Dk Ali Mohamed Shein, Jimbo la Mkoani Pemba

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya mkutano vya Chokocho Wilaya ya Mkoani Pemba kwa ajili ya kampeni yake kwa wananchi wa Jimbo hilo la Mkoani. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Siasa jukwaa kuu baada ya kuwasili katikac viwanja hivyo...

 

10 years ago

Michuzi

KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR YAPITISHA JINA LA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM DK. ALI MOHAMED SHEIN

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akipongezwa  na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein. VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM...

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba Ya Dr Asha - Rose Migiro Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015

Hotuba ya Mhe Dk. Asha-Rose Migiro akikubali matokeo ya mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ambao ulikuwa ukimchagua mgombea wa nafasi ya urais.
Dr Migiro alishika nafasi ya tatu katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na Balozi Amina Salum Ali

 

10 years ago

Michuzi

DK. ALI MOHAMED SHEIN AMESEMA KUWA KENYA NA TANZANIA NI NCHI ZENYE UHUSIANO WA MUDA MREFU


  STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE   Zanzibar                                                                                                           29.06.2015
RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Kenya na Tanzania ni nchi zenye uhusiano wa muda mrefu hivyo kuna kila sababu za kuendelea kuimarisha na kuitekeleza Sera ya Demokrasia ya Uchumi  kwa manufaa ya pande mbili hizo.
Dk. Shein...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR ALI MOHAMED SHEIN AREJESHA FOMU LEO JUNI 30, 2015

1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akirejesha Fomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombe Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo-Juni 30, 2015.[Picha na Ikulu.]2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu maalum...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani