Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapinzani wapinga hotuba ya JK

>Wenyeviti wa vyama vya Upinzani vya Chadema, Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha NCCR-Mageuzi, jana usiku walikutana ili kutoa kauli ya pamoja, kutokana na hotuba ya ufunguzi wa Bunge kwa maelezo kuwa tayari Rais amevuruga mchakato mzima wa kupata Katiba Mpya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wapinzani wapinga muhula wa 3 wa Kagame

Wapinzani wa rais wa Rwanda Paul Kagame wameshtumu mapendekezo ya kuifanyia mabadiliko katiba ili kumruhusu kuwania muhula wa tatu.

 

11 years ago

GPL

WAPINZANI WAIPINGA HOTUBA YA KIKWETE

Wenyeviti wa vyama vya upinzani nchini, kutoka kushoto ni James Mbatia (NCCR-Mageuzi), Freeman Mbowe (Chadema) na Profesa Ibrahim Lipumba (CUF). Dodoma.
Wenyeviti wa vyama vya Upinzani vya Chadema, Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha NCCR-Mageuzi, jana usiku walikutana ili kutoa kauli ya pamoja, kutokana na hotuba ya ufunguzi wa Bunge kwa maelezo kuwa tayari Rais amevuruga mchakato mzima wa kupata Katiba Mpya. Wakati...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wapinga hotuba ya rais bila matokeo ya Z’bar

Vyama vinavyounda Ukawa wamesema wamwandikia Spika wa Bunge, Job Ndugai barua kutaka kujua uhalali wa Rais John Magufuli kuhutubia Bunge bila matokeo Rais wa Zanzibar kujulikana. 

 

9 years ago

Dewji Blog

Mwigulu Nchemba awashukia wapinzani wanaotumia hotuba za Baba wa Taifa kwa mtaji wa kisiasa

nchMwigulu Nchemba akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Nkungi, wilayani Mkalama (Picha ya Maktaba yetu)

Naibu Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba, amewataka Viongozi/ watu wanaojifanya mabingwa wa kutumia baadhi ya hotuba za hayati Mwalimu Julius Nyerere kujinufaisha kisiasa, watumie pia hotuba za hayati Nyerere zenye mwelekeo wa kuwakosoa,ili waweze kuthibitisha ubingwa wao.   Amedai mabingwa hao wakiweza kutoa ufafanuzi hata kwa hotuba zinazowakwaza,kwa njia hiyo, watakuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Wapinga Makonda kuwa DC.

Wasomi, wanasiasa na wanaharakati nchini, wamepokea kwa hisia tofauti uteuzi alioufanya na Rais Jakaya Kikwete, wa wakuu wa wilaya wapya, huku baadhi wakikosoa uteuzi wa mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda na wengine wakiunga mkono.

Juzi Rais Kikwete aliteua wakuu wa wilaya wapya 27, akiwamo Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Uhamasishaji na Chipukizi, Makonda, kuwang’oa 19 na kuwahamisha 64.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti na NIPASHE jana, badhi walisema Rais Kikwete...

 

10 years ago

Mtanzania

Mawakili wa Kipumba wapinga

ibrahimNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WAKILI Peter Kibatala na wenzake wanaomtetea Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba na wenzake 30, amewasilisha pingamizi la awali kupinga mashtaka dhidi ya washtakiwa hao.
Pingamizi hiyo iliwasilishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu, Cyprian Mkeha.
Katika kesi hiyo, Profesa Lipumba na wenzake wanakabiliwa na mashtaka ya kula njama ya kutenda kosa, kufanya mkusanyiko usio halali na kufanya fujo baada ya kutolewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani