Mawakili wa Kipumba wapinga
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WAKILI Peter Kibatala na wenzake wanaomtetea Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba na wenzake 30, amewasilisha pingamizi la awali kupinga mashtaka dhidi ya washtakiwa hao.
Pingamizi hiyo iliwasilishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu, Cyprian Mkeha.
Katika kesi hiyo, Profesa Lipumba na wenzake wanakabiliwa na mashtaka ya kula njama ya kutenda kosa, kufanya mkusanyiko usio halali na kufanya fujo baada ya kutolewa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Mawakili wa Ponda kushughulikiwa
11 years ago
Habarileo01 Apr
'Mawakili wengi ni wachuna fedha'
ONGEZEKO la Mawakili wa Kujitegemea wanaotetea wananchi katika mahakama za ngazi ya wilaya na mkoa nchini linadaiwa kusababisha mafuriko ya wanasheria hao ambapo baadhi sasa wamebainika kutumia fursa hiyo vibaya kwa ajili ya kujipatia fedha badala ya kuwatetea wananchi ili wapate haki yao kwa wakati.
11 years ago
BBCSwahili28 Mar
Mawakili wa Pistorius kutoa ushahidi
10 years ago
Habarileo05 Feb
Mahakama Kuu yaonya mawakili
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha imewaonya baadhi ya mawakili na mahakimu kuacha mara moja tabia ya kugeuza mahakama kuwa kichaka vya kuchelewesha upatikanaji wa haki, hali hiyo ikitajwa kwa kiasi kikubwa kuchangiwa na baadhi yao kuendekeza maslahi binafsi.
9 years ago
Mtanzania16 Dec
Mawakili 6 wa Kubenea kumkabili Makonda
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
JOPO la mawakili sita wamejitokeza kumtetea Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), baada ya kupandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.
Mawakili hao, wakiongozwa na Peter Kibatala, walijitokeza katika mahakama hiyo jana na kudai dhamana baada ya kusomewa mashtaka hayo kwa madai kuwa shtaka la mteja wao linadhaminika.
Akisoma...
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Mawakili kusomea gesi, mafuta
10 years ago
Habarileo11 Mar
Mawakili wa Ponda waibua mapya
UPANDE wa utetezi katika kesi ya jinai inayomkabili kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda umewasilisha hoja zitakazoifanya Mahakama kutoona sababu kwa mshitakiwa huyo kuwa na kesi ya kujitetea.
10 years ago
Habarileo24 Mar
Mawakili wa Lipumba waikataa mahakama
UPANDE wa Utetezi katika kesi ya kufanya mkusanyiko usio halali, inayomkabili Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na wenzake, umepinga Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi hiyo.
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Mbowe kutinga polisi na mawakili