Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawakili wa Ponda waibua mapya

Shehe Ponda Issa PondaUPANDE wa utetezi katika kesi ya jinai inayomkabili kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda umewasilisha hoja zitakazoifanya Mahakama kutoona sababu kwa mshitakiwa huyo kuwa na kesi ya kujitetea.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mawakili wa Ponda kushughulikiwa

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ya kuomba kufutiwa shtaka la kukiuka uamuzi wa mahakama.

 

11 years ago

Mwananchi

Waliofutiwa leseni waibua mapya

Kampuni ya Green Mile Safari Limited (GMS) iliyofutiwa leseni ya uwindaji wa kitaliii na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu Julai 11, imeziomba mamlaka za juu kuingilia kati uamuzi huo kwa madai ya kutotendewa haki.

 

10 years ago

Vijimambo

Chadema waibua mapya kashfa ya Escrow

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema, Arcado Ntagazwa.
Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajia kutoa maamuzi ya maazimio yaliyotolewa na Bunge kuhusiana na sakata la uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti Tegeta Escrow, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibua mapya kwa kutaja orodha mpya ya viongozi wanaopaswa kuwajibishwa kutokana na kashfa hiyo.

Aidha, Chadema kimesema Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdrahaman Kinana, anafahamu jinsi uchotwaji fedha...

 

10 years ago

Mwananchi

Mawakili wakwamisha kesi ya Ponda kusikilizwa

Kesi inayomkabili katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Shekh Ponda Issa Ponda jana ilishindikana kusikilizwa, huku mawakili wa pande mbili za mashtaka na utetezi wakivutana kuhusu haki ya mshtakiwa kupewa dhamana.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Utafiti waibua mapya ugonjwa wa seli mundu

WAGONJWA wa seli mundu wenye idadi kubwa ya chembechembe za damu zijulikanazo kama ‘fetal hemoglobin’ hawaugui mara kwa mara na makali ya ugonjwa huo yanapungua. Hayo yalibainishwa jijini Dar es...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ubunge Viti Maalum CCM Waibua Mapya Singida

Kinyang’anyiro cha ubunge wa viti maalum katika mkoa wa Singida  kimeibua mapya, baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Wilaya ya Ikungi, Christina Hamis, kutishia kususia kuingia kwenye ofisi za jumuiya hiyo na kuhama chama.


Mwenyekiti huyo anakusudia kuchukua uamuzi huo kwa madai kuwa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Aluu Segamba, anamlazimisha amuunge mkono mgombea ubunge wa Viti Maalumu (CCM), Wema Sepetu.
Christina alisema pamoja na kwamba yeye ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Mawakili kesi ya Sheikh Ponda wavutana kuhusu sheria ya ushahidi

Shahidi watatu katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa ushahidi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro huku mawakili wa upande wa mashtaka na wa utetezi wakisigana kwenye kifungu cha 150 hadi 152 cha sheria ya ushahidi.

 

9 years ago

Mwananchi

Utafiti Twaweza waibua maswali 14

Siku moja baada ya taasisi ya Twaweza kutoa ripoti ya maoni ya wananchi kuhusu uchaguzi wa Oktoba 25, maswali yameibuka kwenye mijadala mbalimbali miongoni mwa wananchi, yakihoji jinsi maoni hayo yalivyokusanywa, wafadhili wa utafiti na namna maamuzi kadhaa yalivyofikiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani