Chadema waibua mapya kashfa ya Escrow
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema, Arcado Ntagazwa.
Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajia kutoa maamuzi ya maazimio yaliyotolewa na Bunge kuhusiana na sakata la uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti Tegeta Escrow, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibua mapya kwa kutaja orodha mpya ya viongozi wanaopaswa kuwajibishwa kutokana na kashfa hiyo.
Aidha, Chadema kimesema Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdrahaman Kinana, anafahamu jinsi uchotwaji fedha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Jul
Waliofutiwa leseni waibua mapya
10 years ago
Habarileo11 Mar
Mawakili wa Ponda waibua mapya
UPANDE wa utetezi katika kesi ya jinai inayomkabili kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda umewasilisha hoja zitakazoifanya Mahakama kutoona sababu kwa mshitakiwa huyo kuwa na kesi ya kujitetea.
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Utafiti waibua mapya ugonjwa wa seli mundu
WAGONJWA wa seli mundu wenye idadi kubwa ya chembechembe za damu zijulikanazo kama ‘fetal hemoglobin’ hawaugui mara kwa mara na makali ya ugonjwa huo yanapungua. Hayo yalibainishwa jijini Dar es...
10 years ago
Bongo Movies26 Jul
Ubunge Viti Maalum CCM Waibua Mapya Singida
Kinyang’anyiro cha ubunge wa viti maalum katika mkoa wa Singida kimeibua mapya, baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Wilaya ya Ikungi, Christina Hamis, kutishia kususia kuingia kwenye ofisi za jumuiya hiyo na kuhama chama.
Mwenyekiti huyo anakusudia kuchukua uamuzi huo kwa madai kuwa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Aluu Segamba, anamlazimisha amuunge mkono mgombea ubunge wa Viti Maalumu (CCM), Wema Sepetu.
Christina alisema pamoja na kwamba yeye ni...
10 years ago
Vijimambo29 May
Kashfa Escrow imeharibu nchi
![](http://jamboleo.co.tz/wp-content/uploads/2015/05/dampo.png)
Dotto MwaibaleKITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimetoa ripoti ya mwaka 2015, inayoonesha kuwa kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow iliyohusisha idara mbalimbali za Serikali imeharibu sifa ya nchi.Imesema Tegeta Escrow imekuwa ni mojawapo ya matukio makubwa ya kashfa za rushwa kupata kutokea nchini, ambapo inahusisha watu kutoka kada mbalimbali za jamii kuanzia Serikali Kuu, Idara ikiwamo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na pia Rita.Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dk. Helen...
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Maswali magumu kashfa ya Escrow
WAKATI kashfa ya ufisadi wa dola za Marekani milioni 122 (sawa na sh bilioni 200) katika akaunti ya Baraza la Usuluhishi la Migogoro ya Kibiashara (Escrow) ya Benki Kuu ya...
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Kashfa ya ESCROW vigogo watajwa TZ
10 years ago
Mtanzania07 Jan
Kashfa ya Escrow yamng’oa Chenge rasmi
Na Fredy Azzah, Dar Es Salaam
WAKATI Watanzania wakisubiri hatima ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ambaye Rais Jakaya Kikwete alisema anamuweka kiporo kutokana na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge, ametangaza rasmi kuachia nafasi hiyo.
Bunge lililopita baada ya kujadili ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu miamala...
10 years ago
Tanzania Daima15 Nov
Wataka kashfa ya Escrow imalizwe haraka
MUUNGANO wa vyama vitano vya siasa umelitaka Bunge na serikali kutoa ufumbuzi wa haraka kuhusiana na kashfa ya uchotwaji fedha katika Akaunti Maalum ya Escrow zaidi ya sh bilioni 200...