Wapinzani wapinga muhula wa 3 wa Kagame
Wapinzani wa rais wa Rwanda Paul Kagame wameshtumu mapendekezo ya kuifanyia mabadiliko katiba ili kumruhusu kuwania muhula wa tatu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV14 Aug
Watu 10 pekee wapinga muhula wa 3 wa Kagame.
![](http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/08/11/150811113836_kagame_640x360__nocredit.jpg)
Kagame
Maafisa nchini Rwanda wanasema kwamba baada ya mashauriano ya kitaifa ni watu kumi tu wanaompinga rais Kagame kuwania muhula wa tatu.
Gazeti la New Times lililo karibu na serikali linasema kati ya watu milioni mbili walioshauriwa kuhusu kufanyia katiba mageuzi ni watu kumi tu waliopinga fikra hiyo.
Katiba inasema rais anapaswa kuhudumu kwa mihula miwili pekee.
Wachambuzi wanasema raia wengi wa Rwanda huenda wameogopa kupinga pendekezo hilo.
Rais Kagame amehudumu madarakani tangu...
9 years ago
BBCSwahili01 Jan
Kagame atangaza atawania muhula wa tatu
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Bunge lamwezesha Kagame kuwania muhula wa 3
10 years ago
BBCSwahili11 Aug
Ni watu 10 pekee wanaopinga muhula wa 3 wa Kagame
9 years ago
Bongo504 Jan
Kagame kugombea muhula wa tatu, Marekani yalaani
![BN-CL122_RWANDA_G_20140418150011](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/BN-CL122_RWANDA_G_20140418150011-300x194.jpg)
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema atawania muhula wa tatu wa Urais baada ya wananchi kupigia kura rasimu ya katiba inayomruhusu kufanya hivyo.
Akihutubia taifa hilo siku ya mwaka mpya, Kagame alidai kuwa uamuzi wake huo umetokana na chaguo la wananchi wake.
Wananchi wa Rwanda waliipigia kura rasimu ya katiba hiyo December 18 kumruhusu Kagame, 58, kuwania tena muhula mwingine wa urais mwaka 2017 wenye miaka saba.
Katiba hiyo itamruhusu kuwania tena mihula mingine miwili ya miaka kumi hadi...
11 years ago
Mwananchi22 Mar
Wapinzani wapinga hotuba ya JK
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Wapinzani wa Kagame kuandamana Afrika.K
10 years ago
BBCSwahili08 Sep
Blatter kuwania muhula wa 5