Wapinzani wa Kagame kuandamana Afrika.K
Chama cha upinzani cha Rwanda National Congress leo kinatarajiwa kuandaa maandamano ya raia wa Rwanda wanaoishi Afrika Kusini kulalamikia mauaji ya Kanali Patrick Karegeya
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo29 Sep
Tibaigana: Wapinzani wana haki kuandamana
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2468240/highRes/839688/-/maxw/600/-/vlxppiz/-/Tibaigana.jpg)
Katika mahojiano maalumu na gazeti hili nyumbani kwake Buganguzi wilayani Muleba, Kamishna Tibaigana alisema suala la maandamano halikumsumbua kwa kuwa alielewa kuwa sheria inayaruhusu, hivyo alichokuwa akifanya ni kuwaita viongozi wa vyama vinavyotaka kuandamana na kufanya nao makubaliano ya namna maandamano hayo yanavyopaswa yafanywe kabla ya kuyaruhusu.“Pengine hiyo ndiyo sababu sikuwahi kushambuliwa kwa maneno ya kejeli au...
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Wapinzani wapinga muhula wa 3 wa Kagame
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
CAF yataja wapinzani wa Twiga - Afrika
11 years ago
Habarileo16 Dec
Katibu wa zamani Bunge la Afrika awakosoa wapinzani
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Bunge la Afrika na Kenya, Murumba Werunga, amevitaka vyama vya upinzani nchini, kuhakikisha vinachangia katika kutoa mawazo yao juu ya masuala ya maendeleo na si kupinga kila kitu kinachowasilishwa na Serikali.
10 years ago
Mtanzania07 Aug
JK: Azam isiishie Kagame, ikashinde Afrika
*Aipongeza kutokuwa tawi la Simba na Yanga
*Aeleza imepunguza ukame wa vikombe
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amewatakama bingwa wapya wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati,Azam kutoishia kushinda Kombe la Kagame pekee badala yake isonge mbele na kushinda mataji makubwa ya ubingwa Afrika.
Kikwete alitoa changamoto hiyo jana Ikulu wakati alipokutana na mabingwa hao wapya wa Kagame kwa ajili ya kumkabidhi kombe...
11 years ago
Dewji Blog23 May
Rais Kagame afungua rasmi mkutano wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya afrika (AfDB) unaofanyika jijini Kigali Rwanda
Baadhi ya Viongozi Wakuu wa Afrika waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ambao ulifunguliwa na Mh.Rais wa Rwanda Paul Kagame. Mh.Kagame katika hotuba yake alisisitiza kuzijengea uwezo sekta binafsi ili Afrika iweze kufikia uchumi wa kati kwa kipindi cha Miaka 50 ijayo. Aidha katika kufikia lengo hilo Rais Kagame alisema hatuna budi Afrika kuachana na Migogoro na kutekeleza kwa vitendo makubaliano yanayoafikiwa na Viongozi wa Afrika ili kujenga uchumi imara...
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Wanayanga kuandamana
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Tamada kuandamana
WAFANYABIASHARA Ndogondogo Dar es Salaam wanatarajia kufanya maandamano ya amani mwezi ujao kupinga hatua ya serikali kuwafukuza kwenye maeneo yao ya kufanyia biashara. Mwenyekiti wa Taasisi ya Jumuiya za Wafanyabiashara...