Tibaigana: Wapinzani wana haki kuandamana
Alfred Tibaigana alipokuwa kazini siku chache kabla ya kustaafu.
Katika mahojiano maalumu na gazeti hili nyumbani kwake Buganguzi wilayani Muleba, Kamishna Tibaigana alisema suala la maandamano halikumsumbua kwa kuwa alielewa kuwa sheria inayaruhusu, hivyo alichokuwa akifanya ni kuwaita viongozi wa vyama vinavyotaka kuandamana na kufanya nao makubaliano ya namna maandamano hayo yanavyopaswa yafanywe kabla ya kuyaruhusu.“Pengine hiyo ndiyo sababu sikuwahi kushambuliwa kwa maneno ya kejeli au...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Wapinzani wa Kagame kuandamana Afrika.K
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Abiria wana haki ya kujua wajibu, haki zao
WATUMIAJI wa huduma za usafiri wa nchi kavu na majini, bado hawajatambua haki na wajibu wao wawapo safarini. Hiyo yote inatokana na kutokufahamu wapi wapeleke malalamiko yao. Lakini makala hii...
9 years ago
Mtanzania14 Sep
Mourinho: Wapinzani wana furaha Chelsea kufungwa
LONDON, ENGLAND
BAADA ya Chelsea kukubali kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya wapinzani wake Everton juzi katika michuano ya Ligi Kuu England, Kocha Jose Mourinho amesema anaamini wapinzani wake wana furaha kubwa baada ya kupoteza mchezo huo.
Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu nchini England, wameanza vibaya michuano hiyo msimu huu baada ya kucheza michezo mitano na kuwafanya washike nafasi ya 16 katika msimamo wa ligi huku wakiwa na pointi 4, hivyo Mourinho anaamini wapinzani wake wana furaha...
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
Wapinzani wana kazi ngumu awamu ya tano
KUWA katika kambi ya upinzani ilikuwa ni kazi rahisi zaidi wakati wa awamu tatu za serikali ziliz
Njonjo Mfaume
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Wanaume wana haki ya asili - Nyangwine
11 years ago
BBCSwahili20 Mar
Watoto wa Marais wana haki kujiunga na siasa?
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Bodaboda wasijione wana haki kuliko wengine
NCHI yoyote inayolenga kuendeshwa kistaarabu huwa inajitungia sheria, kanuni na taratibu. Hizi hutumika kama nyenzo za kuhakikisha kuwa watu wanapata haki zao na kuwa haki ya mtu mmoja haitumiki kuvuruga...
10 years ago
Mwananchi19 Aug
Hatutachoka kusema, albino wana haki ya kuishi
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-qMPiN_25YM8/XmNMx-rjusI/AAAAAAACIQc/3R5EQC1EIuw1uAR1j6ndcN-6TdAwTJZjACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200307_102122_258.jpg)
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YAMPONGEZA JPM KUKUTANA NA WAPINZANI, IKULU
![](https://1.bp.blogspot.com/-qMPiN_25YM8/XmNMx-rjusI/AAAAAAACIQc/3R5EQC1EIuw1uAR1j6ndcN-6TdAwTJZjACLcBGAsYHQ/s1600/IMG_20200307_102122_258.jpg)
Viongozi hao ni Mshauri wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalimu Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Bwana James Mbatia, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB)...