Mourinho: Wapinzani wana furaha Chelsea kufungwa
LONDON, ENGLAND
BAADA ya Chelsea kukubali kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya wapinzani wake Everton juzi katika michuano ya Ligi Kuu England, Kocha Jose Mourinho amesema anaamini wapinzani wake wana furaha kubwa baada ya kupoteza mchezo huo.
Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu nchini England, wameanza vibaya michuano hiyo msimu huu baada ya kucheza michezo mitano na kuwafanya washike nafasi ya 16 katika msimamo wa ligi huku wakiwa na pointi 4, hivyo Mourinho anaamini wapinzani wake wana furaha...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Kutana na video ya dakika 1 ya mkusanyiko wa matukio ya Mourinho ambayo hana furaha Chelsea …
December 16 stori zilizopo kwenye mitandao mingi ya soka barani Ulaya ni kuhusu uamuzi wa uongozi wa klabu ya Chelsea kuhitisha mkutano wa dharura na kujadili mwenendo wa timu yao sambamba na kumjadili kocha Jose Mourinho. Nimekutana na video hii kutoka BBC ambayo wamekusanya matukio kadhaa ya Jose Mourinho akiwa hana furaha ndani ya Chelsea […]
The post Kutana na video ya dakika 1 ya mkusanyiko wa matukio ya Mourinho ambayo hana furaha Chelsea … appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Vijimambo29 Sep
Tibaigana: Wapinzani wana haki kuandamana
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2468240/highRes/839688/-/maxw/600/-/vlxppiz/-/Tibaigana.jpg)
Katika mahojiano maalumu na gazeti hili nyumbani kwake Buganguzi wilayani Muleba, Kamishna Tibaigana alisema suala la maandamano halikumsumbua kwa kuwa alielewa kuwa sheria inayaruhusu, hivyo alichokuwa akifanya ni kuwaita viongozi wa vyama vinavyotaka kuandamana na kufanya nao makubaliano ya namna maandamano hayo yanavyopaswa yafanywe kabla ya kuyaruhusu.“Pengine hiyo ndiyo sababu sikuwahi kushambuliwa kwa maneno ya kejeli au...
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
Wapinzani wana kazi ngumu awamu ya tano
KUWA katika kambi ya upinzani ilikuwa ni kazi rahisi zaidi wakati wa awamu tatu za serikali ziliz
Njonjo Mfaume
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Mourinho atimuliwa Chelsea
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Mashabiki Chelsea wamlilia Mourinho
LONDON, ENGLAND
MASHABIKI wa Chelsea wameshindwa kuzuia hisia zao juzi katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Sunderland ambapo klabu yao ilishinda mabao 3-1, lakini walionekana wakiwa na mabango ambayo yanaonesha bado wanamuhitaji.
Kocha huyo amefukuzwa na klabu hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita, lakini katika mchezo wa juzi mashabiki waliojitokeza kwenye Uwanja wa Stamford Bridge, walionekana wakiimba nyimbo za kumsapoti Mourinho.
Kuna baadhi ya mashabiki ambao walionekana wakiwa na mabango...
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Bodi ya Chelsea yamjadili Mourinho
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Mourinho atupiwa virago Chelsea
LONDON England
CHELSEA hatimaye imefikia uamuzi mgumu kabisa wa kumtimua kocha wao kipenzi, Jose Mourinho ikiwa ni miezi saba tu tangu kocha huyo aimbiwe wimbo wa kishujaa baada ya kuiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa England.
Uamuzi wa Bodi ya Chelsea umetangazwa jana jioni na umeelezwa kuchangiwa na matokeo mabaya ya timu hiyo katika Ligi Kuu ya England (EPL) msimu huu, ambapo timu hiyo inashika nafasi ya 16 ikiwa na pointi 15 kutokana na michezo 16 iliyocheza.
Kufungwa na vinara wa ligi...
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Mourinho na Abramovich kuijenga Chelsea.