Mourinho atupiwa virago Chelsea
LONDON England
CHELSEA hatimaye imefikia uamuzi mgumu kabisa wa kumtimua kocha wao kipenzi, Jose Mourinho ikiwa ni miezi saba tu tangu kocha huyo aimbiwe wimbo wa kishujaa baada ya kuiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa England.
Uamuzi wa Bodi ya Chelsea umetangazwa jana jioni na umeelezwa kuchangiwa na matokeo mabaya ya timu hiyo katika Ligi Kuu ya England (EPL) msimu huu, ambapo timu hiyo inashika nafasi ya 16 ikiwa na pointi 15 kutokana na michezo 16 iliyocheza.
Kufungwa na vinara wa ligi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Maximo rasmi atupiwa virago yanga
9 years ago
BBCSwahili10 Dec
Garry Monk atupiwa virago Swansea City
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Mourinho atimuliwa Chelsea
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Bodi ya Chelsea yamjadili Mourinho
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Mashabiki Chelsea wamlilia Mourinho
LONDON, ENGLAND
MASHABIKI wa Chelsea wameshindwa kuzuia hisia zao juzi katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Sunderland ambapo klabu yao ilishinda mabao 3-1, lakini walionekana wakiwa na mabango ambayo yanaonesha bado wanamuhitaji.
Kocha huyo amefukuzwa na klabu hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita, lakini katika mchezo wa juzi mashabiki waliojitokeza kwenye Uwanja wa Stamford Bridge, walionekana wakiimba nyimbo za kumsapoti Mourinho.
Kuna baadhi ya mashabiki ambao walionekana wakiwa na mabango...
11 years ago
BBCSwahili25 Jul
Mourinho : Drogba ni Chelsea damu.
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Mourinho na Abramovich kuijenga Chelsea.
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
Chelsea wampunguzia presha Mourinho
10 years ago
Bongo509 Jan
Meneja wa Chelsea, Jose Mourinho ashtakiwa na FA