Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maximo rasmi atupiwa virago yanga

Klabu ya Yanga imewatupia virago rasmi makocha wabrazil Marcio Maximo na msaidizi wake, Leonardo Neiva kwa matokeo mabavu ya klabu hio

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Mourinho atupiwa virago Chelsea

mourinho-jose-424737LONDON England

CHELSEA hatimaye imefikia uamuzi mgumu kabisa wa kumtimua kocha wao kipenzi, Jose Mourinho ikiwa ni miezi saba tu tangu kocha huyo aimbiwe wimbo wa kishujaa baada ya kuiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa England.

Uamuzi wa Bodi ya Chelsea umetangazwa jana jioni na umeelezwa kuchangiwa na matokeo mabaya ya timu hiyo katika Ligi Kuu ya England (EPL) msimu huu, ambapo timu hiyo inashika nafasi ya 16 ikiwa na pointi 15 kutokana na michezo 16 iliyocheza.

Kufungwa na vinara wa ligi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Garry Monk atupiwa virago Swansea City

Klabu ya Swansea City imemtupia virago kocha wake Garry Monk baada ya kushinda mchezo mmoja kati ya 11 kwenye ligi ya England .

 

10 years ago

CloudsFM

Yanga SC yamtimua rasmi Maximo.

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukatisha mkataba wake na kocha wa timu hiyo, Mbrazil Marcio Maximo kuanzia sasa ukiwa ni uamuzi ulioafikiwa katika kikao kilichofanyika juzi Hoteli ya Protea, jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kimekaa siku moja baada ya timu hiyo kuchapwa bao 2-0 na watani wao wa jadi, Simba katika mchezo wa Nani Mtani Jembe uliofanyika mwishoni mwa wiki Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Maximo anaondolewa katika kikosi hicho akiwa ameshiriki katika mechi tisa tu za...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yamtupia virago Kaseja

Hatimaye uongozi wa Yanga umetangaza rasmi kuachana na kipa wake Juma Kaseja wakisema kuanzia sasa ni mchezaji huru. Awali kipa huyo mkongwe aliamua kuipa kisogo timu hiyo akilalamikia kutolipwa sehemu ya fedha zake za usajili pamoja na bima ya afya yake.

 

11 years ago

TheCitizen

Maximo says Yanga are going places

He might have stayed with the team for two weeks only, but Young Africans head coach Marcio Maximo, is optimistic that the Jangwani Street outfit is going places.

 

10 years ago

Mtanzania

Maximo: Nawaangalia tu Yanga

???????????????????????????????

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM,
IKIWA ni siku tano sasa zimepita tangu Yanga kutangaza kuachana na Kocha Mbrazil Marcio Maximo, kocha huyo amesema anawaangalia na kuwasikiliza viongozi wa timu hiyo ambao hadi sasa hawajampa barua ya kuvunja mkataba wake.
Kwa sasa, Maximo yupo katika hali ya sintofahamu kutokana na wiki nzima hii magazeti mbalimbali kuripoti juu ya klabu ya Yanga kumtema bila kumpa barua yoyote mpaka sasa.
Kocha huyo aliyejizolea sifa wakati akiwa na Timu ya Taifa ya...

 

11 years ago

TheCitizen

Yanga will be like TP Mazembe, says Maximo

Former National soccer team, Taifa Stars head coach, Marcio Maximo, has said his task ahead is to make Young Africans Sports Club a strong side like TP Mazembe of the Democratic Republic of Congo (DRC).

 

11 years ago

GPL

MAXIMO ACHOTA SH 371M YANGA

Kocha Mkuu wa Frankana, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi
JUMLA ya shilingi milioni 371 zinatakiwa kutumiwa na Yanga kwa ajili ya kukamilisha kumleta Kocha Mkuu wa Frankana, Mbrazili, Marcio Maximo.
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ndiye anabeba jukumu hilo la kumwaga mamilioni hayo ya fedha ili kumpata Maximo, kocha wa zamani wa timu ya taifa, Taifa Stars.
Mbrazili huyo aliwahi kuifundisha timu ya taifa, Taifa...

 

10 years ago

TheCitizen

SOCCER: Pluijm in, Maximo out at Yanga

>Former Young Africans head coach Johannes Franciscus, well known in Dar soccer circles  as ‘Hans’ Van der Pluijm has arrived in the country to discuss a deal with the Jangwani club.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani