MAXIMO ACHOTA SH 371M YANGA
![](http://api.ning.com:80/files/3QWN5yhdbafai*V-2B6PdOIEsoAGrXWwEAW8yQC27FMH7CRtljs5HZcb8QuxBTg7UzXp9NkWosYFVKCSEiSPTK9D43mMRvVq/11.jpg?width=650)
Kocha Mkuu wa Frankana, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi JUMLA ya shilingi milioni 371 zinatakiwa kutumiwa na Yanga kwa ajili ya kukamilisha kumleta Kocha Mkuu wa Frankana, Mbrazili, Marcio Maximo. Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ndiye anabeba jukumu hilo la kumwaga mamilioni hayo ya fedha ili kumpata Maximo, kocha wa zamani wa timu ya taifa, Taifa Stars. Mbrazili huyo aliwahi kuifundisha timu ya taifa, Taifa...
GPL