Maximo atangaza vikosi 2 Yanga
![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k6bKGt3yZ0C9BFsTciWMv*eizMHfqQZ*KHInUyjXJ2VlN5tt4BXqPsavplTWHvbLIpWL7G6URVPu0xtYmUGNFAi/1.jpg)
Na Mwandishi Wetu KOCHA Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo, anaendelea kuiandaa timu yake kwa ajili ya msimu mpya, lakini ameamua kutengeneza vikosi viwili. Kocha Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo, Ingawa amekuwa akifanya siri, katika mazoezi ya Yanga, Maximo ameamua kutengeneza vikosi viwili ambavyo vitaifanya Yanga kuwa na uhakika kwa msimu mzima. “Kocha amefanya uchunguzi wa kila kitu ikiwa ni pamoja na kuangalia wachezaji wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo18 Oct
MTANANGE WA YANGA NA SIMBA VIKOSI VYATAJWA
![](http://udakunews.com/wp-content/uploads/2014/09/simbayanga.jpg)
Deogratius Munisi "Dida" Juma Abdul, Oscar Joshua, Nadir Haroub "Cannavaro" Kelvin Yondani, Mbuyu Twite, Hassan Dilunga, Haruna Niyonzima, Genilson Santos "Jaja", Mrisho Ngasa, Andrey Coutinho.
BENCHI LA AKIBA
Juma Kaseja, Salum Telela, Rajab Zahir, Nizar Khalfan, Simon Msuva, Hamis Kiiza na Jerson Tegete.
KIKOSI CHA SIMBA
Manyika Peter, William Lucian, Mohamed Husseni, Hassan Shaka, Joseph Owino, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Said Ndemla, Elias Maguri, Amri Kiemba na Emanueli Okwi
10 years ago
GPLVIKOSI VYA LEO SIMBA VS YANGA
11 years ago
TheCitizen01 Jul
Yanga will be like TP Mazembe, says Maximo
10 years ago
Mtanzania19 Dec
Maximo: Nawaangalia tu Yanga
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM,
IKIWA ni siku tano sasa zimepita tangu Yanga kutangaza kuachana na Kocha Mbrazil Marcio Maximo, kocha huyo amesema anawaangalia na kuwasikiliza viongozi wa timu hiyo ambao hadi sasa hawajampa barua ya kuvunja mkataba wake.
Kwa sasa, Maximo yupo katika hali ya sintofahamu kutokana na wiki nzima hii magazeti mbalimbali kuripoti juu ya klabu ya Yanga kumtema bila kumpa barua yoyote mpaka sasa.
Kocha huyo aliyejizolea sifa wakati akiwa na Timu ya Taifa ya...
11 years ago
TheCitizen14 Jul
Maximo says Yanga are going places
10 years ago
Vijimambo15 Dec
MARCIO MAXIMO AONDOKA YANGA
![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/12/maximo-manji-leo.tif.jpg?resize=1600%2C1074)
Habari hizi zinakuja dakika chache baada ya Millardayo.com kuripoti tetesi zinazohusu8 mustakabali wa kocha huyo Mbrazil.Maximo anaondoka Yanga baada ya uongozi wa klabu hiyo kukubaliana naye kuvunja mkataba wake baada ya kushindwa kuelewana juu ya jinsi ya kuiendesha klabu hiyo kwenye masuala ya ufundi .
Yanga ilishikilia msimamo wa kumuajiri mkurugenzi wa ufundi ambaye...
10 years ago
TheCitizen17 Dec
SOCCER: Pluijm in, Maximo out at Yanga
10 years ago
Vijimambo04 Oct
Maximo amgeuka Ngassa Yanga
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2473816/highRes/843142/-/maxw/600/-/uf3jb0z/-/maxi.jpg)
10 years ago
Mtanzania16 Dec
Maximo basi tena Yanga
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SAALAM,
UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukatisha mkataba wake na kocha wa timu hiyo, Mbrazil Marcio Maximo kuanzia sasa ukiwa ni uamuzi ulioafikiwa katika kikao kilichofanyika juzi Hoteli ya Protea, jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimekaa siku moja baada ya timu hiyo kuchapwa bao 2-0 na watani wao wa jadi, Simba katika mchezo wa Nani Mtani Jembe uliofanyika mwishoni mwa wiki Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Maximo anaondolewa katika kikosi hicho akiwa...