Maximo amgeuka Ngassa Yanga
Kocha Mkuu wa timu ya Yanga Marcio Maximo akiuzungumza na vyombo vya habari Bosi huyo raia wa Brazil amekuwa akitumia nguvu kubwa mazoezini akitaka Yanga ishinde kwa kishindo uwanjani lakini jambo hilo limekuwa kinyume ambapo imekuwa ikishinda kwa mabao machache.MATOKEO iliyopata Yanga kwenye mechi mbili za awali za Ligi Kuu Bara hayajamfurahisha Kocha Marcio Maximo. Na hata alipokaa chini kutafakari na uongozi akataja mambo kadhaa ambayo Mrisho Ngassa ni miongoni mwa wachezaji...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMaximo awaandaa Msuva, Ngassa kuwamaliza Simba
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Ngassa aibukia Yanga
10 years ago
Vijimambo21 Jan
Milioni ya Yanga yamvuruga Ngassa
Na Wilbert MolandiSIRI kubwa ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, kucheza chini ya kiwango imefahamika.Ngassa amekuwa kwenye kiwango cha chini msimu huu ikiwa ni tofauti na misimu mingine yote iliyotangulia.Kiungo huyo, alitua kuichezea timu hiyo kwenye msimu wa 2013/2014, kwa makubaliano ya kulipa fedha shilingi milioni 45, ikiwa ni deni la shilingi milioni 30 pamoja na faini ya milioni 15 za Simba ili aweze kuitumikia timu yake ya...
10 years ago
Mtanzania13 May
Yanga: Ngassa kila la heri
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umemtakia kila la heri aliyekuwa mchezaji wao, Mrisho Ngassa, baada ya kupata ulaji nchini Afrika Kusini.
Ngassa jana ameingia mkataba wa miaka minne kuichezea timu Free State Stars, inayocheza Ligi Kuu nchini humo, baada ya kufuzu majaribio na kukabidhiwa jezi rasmi.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha, alisema ni jambo la kujivunia kwa klabu kutoa mchezaji kucheza soka la kulipwa la kimataifa na...
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Ngassa arejea Yanga kiaina
10 years ago
GPLNgassa atoa saa 24 Yanga
10 years ago
Mtanzania09 Feb
Ngassa aipa raha Yanga
JENIFFER ULLEMBO NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
TIMU ya Yanga jana ilifanikiwa kurejea kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuichapa Mtibwa Sugar mabao 2-0 mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga imewashusha waliokuwa vinara Azam wenye pointi 22 baada ya kufikisha jumla ya pointi 25, lakini wanalambalamba hao wana mchezo mmoja mkononi.Winga wa Yanga, Mrisho Ngassa ndiye aliyeibuka shujaa kwa timu yake baada ya kuifungia mabao hayo yote, akiwa...
11 years ago
TheCitizen08 Jul
Dar’s Yanga soften stance on Ngassa transfer
10 years ago
GPLMrisho Ngassa: Nimerudi Yanga kuaga, naondoka