Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maximo awaandaa Msuva, Ngassa kuwamaliza Simba

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazil, Marcio Maximo. Goodluck Ngai na Nassor Gallu
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil, Marcio Maximo, amewaandaa viungo washambuliaji Mrisho Ngassa na Simon Msuva kuwa ndiyo chachu kubwa ya ushindi wake dhidi ya watani wao wa jadi Simba, katika mchezo wao wa Oktoba 18, kwenye Uwanja wa Taifa. Simba na Yanga watakutana katika mchezo wa raundi ya nne wa Ligi Kuu Bara, huku zikiwa na kumbukumbu ya sare ya bao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Ngassa, Msuva, Niyonzima wabeba tuzo Yanga SC


KUNDI maarufu la Yanga Facebook Family leo asubuhi katika uwanja wa Karume, Ilala, Dar es salaam limekabidhi tuzo ya mchezaji bora wa klabu hiyo kwa Mrisho Khalfan Ngassa.Ngassa amechaguliwa mchezaji bora kutokana na mchango wake mkubwa alioonesha mwaka huu klabuni hapo.Pia Haruna Niyonzima amepewa tuzo ya mchezaji bora wa kigeni klabuni hapo wakati Simon Msuva amepewa tuzo ya mfungaji bora wa klabu mwaka msimu huu. Credit: ShaffihDauda number one sports blog.
Yanga facebook family wakipiga...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkwara wake lazima Msuva na Ngassa watulie


By Doris Maliyaga Hata hivyo, Geofrey Mwashiuya, winga mpya wa Yanga anajipa moyo kuwa, mradi ametua Jangwani, yupo tayari kukabiliana na ushindani wowote wa namba.
Hata hivyo, Geofrey Mwashiuya, winga mpya wa Yanga anajipa moyo kuwa, mradi ametua Jangwani, yupo tayari kukabiliana na ushindani wowote wa namba.

Chipukizi huyo aliyesajiliwa mwishoni mwa mwaka jana, anasema anajua mwanzo utakuwa mgumu kwake, lakini kwa vile anajiamini na soka analiweza, atakula sahani moja na wakali hao wa...

 

11 years ago

Vijimambo

Maximo amgeuka Ngassa Yanga

Kocha Mkuu wa timu ya Yanga Marcio Maximo akiuzungumza na vyombo vya habari Bosi huyo raia wa Brazil amekuwa akitumia nguvu kubwa mazoezini akitaka Yanga ishinde kwa kishindo uwanjani lakini jambo hilo limekuwa kinyume ambapo imekuwa ikishinda kwa mabao machache.MATOKEO iliyopata Yanga kwenye mechi mbili za awali za Ligi Kuu Bara hayajamfurahisha Kocha Marcio Maximo. Na hata alipokaa chini kutafakari na uongozi akataja mambo kadhaa ambayo Mrisho Ngassa ni miongoni mwa wachezaji...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA

Kocha Patrick Phiri amesema ametaarifiwa kuhusiana na kibarua chake kusitishwa.
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba yaichokoza Yanga kwa Msuva

Wakati uongozi wa klabu ya Simba ukimwongezea mkataba kiungo wao, Jonas Mkude aliyekuwa akitakiwa na watani wao, Yanga, Wekundu wa Msimbazi wameichokonoa Yanga.

 

10 years ago

TheCitizen

Simba SC test Yanga resolve over Msuva

Simba SC are considering to raid Young Africans for the signature of striker Simon Msuva, a move that must send ripples of shock to the Jangwani Street giants.

 

10 years ago

GPL

Yanga yaipoka Simba mdogo wake Msuva

Straika wa Simba, James Msuva. Na Nicodemus Jonas
KLABU ya Yanga imetangaza nia ya kumuondoa kikosini straika wa Simba, James Msuva ambaye ni mdogo wa winga wa Yanga, Simon Msuva kwa kile walichosema Simba haina uhalali wa kummiliki mchezaji huyo ambaye bado yupo mikononi mwa Klabu ya Wakati Ujao. Katibu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha ambaye ni mwasisi wa Klabu ya Wakati Ujao, amesisitiza kuwa kwake ni muhimu kumuondoa mchezaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga waibeza Simba SC sakata la usajili wa Msuva

Uongozi wa Yanga umeibeza Simba juu ya kauli waliyoitoa hivi karibuni ya kudai kuwa wanaiandikia Yanga barua ya kutaka kumsajili winga wao Simon Msuva.

 

10 years ago

Vijimambo

Ngassa ajilaumu, azikumbuka Azam na Simba

Mrisho Ngassa Akizungumza na Mwanaspoti, Ngassa alisema kuwa anajuta kwanini alizikatalia klabu hizo zilizokuwa na malengo mazuri ya kumuuza kwenye klabu ya El Merreikh ya Sudan na badala yake akang’ang’ania kubaki Tanzania kisa ikiwa ni mapenzi yake kwa Yanga ambayo yamemnyima fursa kwenye maisha yake ya soka.
WINGA wa Yanga, Mrisho Ngassa, amekiri kwamba akiwa mikononi mwa Simba na Azam, klabu hizo zilitaka kumpa dili la maana lakini Yanga wakaingilia kati na kufanikiwa kutibua kwa matajiri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani