Yanga yaipoka Simba mdogo wake Msuva
Straika wa Simba, James Msuva. Na Nicodemus Jonas KLABU ya Yanga imetangaza nia ya kumuondoa kikosini straika wa Simba, James Msuva ambaye ni mdogo wa winga wa Yanga, Simon Msuva kwa kile walichosema Simba haina uhalali wa kummiliki mchezaji huyo ambaye bado yupo mikononi mwa Klabu ya Wakati Ujao. Katibu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha ambaye ni mwasisi wa Klabu ya Wakati Ujao, amesisitiza kuwa kwake ni muhimu kumuondoa mchezaji...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMsuva alimzuia mdogo wake kusaini Yanga
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Simba yaichokoza Yanga kwa Msuva
10 years ago
TheCitizen13 Nov
Simba SC test Yanga resolve over Msuva
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Yanga waibeza Simba SC sakata la usajili wa Msuva
10 years ago
VijimamboBAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...
11 years ago
Bongo509 Jul
Diamond atoa sababu za kuwatumia wazungu kwenye video ya ‘Mdogo mdogo’, script iliandikwa na Adam Kuambiana na ‘baby’ wake (Wema)
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Yanga mdogo mdogo, Mtibwa kileleni
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Simba, Azam mdogo mdogo
5 years ago
BBCSwahili08 Mar
Rais Magufuli aibua gumzo la ushabiki wake kati ya Simba na Yanga