Rais Magufuli aibua gumzo la ushabiki wake kati ya Simba na Yanga
Katika hali ambayo haikutarajiwa, leo kwa mara ya kwanza rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameshuhudiwa kuhudhuria mechi ya mpira wa mpira miguu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k2NcSvwfzUQ/XrEbYFtC7jI/AAAAAAALpLc/RiqFvNh4OhcpnF1cITliB1aXbCYw7jlmACLcBGAsYHQ/s72-c/Screenshot%2B2020-05-05%2Bat%2B9.55.49%2BAM.png)
RAIS MAGUFULI AWA GUMZO KILA PEMBE YA DUNIA, MSIMAMO WAKE KUHUSU CORONA WAKUNA WENGI
10 years ago
Mwananchi13 Oct
Ushabiki wa Yanga, Simba unavyowateka wanawake Tanzania
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-MxSZ2uNgJ4o/XmUp4HNO_jI/AAAAAAALh-Y/01C2o3Ku2iAqeVCZXgpN55bGhlZvnaDRACLcBGAsYHQ/s72-c/1AA-4-768x512.jpg)
RAIS DKT.MAGUFULI ASHUHUDIA YANGA IKIICHAPA 1-0 SIMBA SC UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
![](https://1.bp.blogspot.com/-MxSZ2uNgJ4o/XmUp4HNO_jI/AAAAAAALh-Y/01C2o3Ku2iAqeVCZXgpN55bGhlZvnaDRACLcBGAsYHQ/s640/1AA-4-768x512.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Vijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Ali Karume pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu wakiwapungia mkono wa salamu kwa Wapenzi nan a Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo wa Ligi kuu wa Watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Uliochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Machi 08, 2020. Mchezo uliomalizika kwa Ushindi wa goli moja kwa Yanga...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-w-321q2XNK8/XmU2gaIewFI/AAAAAAACIYE/vMPCQwUEDM4hs1MbPb5JH0XeFVrm61XtQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
RAIS DK. MAGUFULI ASHUHUDIA YANGA IKIIBUGIZA SIMBA 1-0, UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-w-321q2XNK8/XmU2gaIewFI/AAAAAAACIYE/vMPCQwUEDM4hs1MbPb5JH0XeFVrm61XtQCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-upxyNIq9zHI/XmU1WlKgb8I/AAAAAAACIXY/L7LvL_NTmK04AWjg1dSw8oMWRZIbqlNPwCLcBGAsYHQ/s400/2.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/PM1Rh7PyfXw/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-AKYztlnEv-U/VKI0eEHcyfI/AAAAAAADTYM/rI3EafiYGZk/s72-c/Police-Coach-Goran-warns-LLB-to-expect-fightback-in-Kigali.png)
BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA
![](http://1.bp.blogspot.com/-AKYztlnEv-U/VKI0eEHcyfI/AAAAAAADTYM/rI3EafiYGZk/s1600/Police-Coach-Goran-warns-LLB-to-expect-fightback-in-Kigali.png)
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...
10 years ago
VijimamboKUJIANDA NA MPAMBANO WA JUMAPILI KATI YA YANGA NA SIMBA PLUIJM ATIRIRIKA
11 years ago
Dewji Blog14 Jul
David Beckham aonyesha wazi ushabiki wake kwa Argentina baada ya kuwavisha watoto wake jezi za timu hiyo
Family outing: David Beckham and his three sons Brooklyn, Cruz and Romeo were all in attendance – with the boys all wearing Argentina kits.
Family ties: Beckham’s youngest son Cruz was also showing his support for Argentina in the team’s dark blue away kit.
Switched allegiances: David Beckham was in the crowd for the final with his young sons, including Romeo, 11, who was wearing an Argentina shirt.
Stars of the game: Former Brazilian internationals Kaka and Pele with Beckham before the...