KUJIANDA NA MPAMBANO WA JUMAPILI KATI YA YANGA NA SIMBA PLUIJM ATIRIRIKA
Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema wiki moja ya maandalizi kwa ajili ya Simba, itawasaidia sana.Yanga inaivaa Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara utakayopigwa Jumapili ijayo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.Tayari Yanga iko kambini mjini Bagamoyo ambako ilipitiliza moja kwa baada ya kutua nchini ikitokea Botswana. "Pluijm amesema kuwa wiki moja itawasaidia kurekebisha makosa kadhaa.“Makosa hayaishi katika mpira, lakini wiki moja ya maandalizi itatupa nafasi nzuri.“Ukiona timu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7luXFOoEHxg/VPnErW1k6kI/AAAAAAAHIDA/r-NZAA8bTk0/s72-c/YangaSimba.jpg)
KUZIONA SIMBA NA YANGA JUMAPILI HII NI BUKU 7 TU
![](http://2.bp.blogspot.com/-7luXFOoEHxg/VPnErW1k6kI/AAAAAAAHIDA/r-NZAA8bTk0/s1600/YangaSimba.jpg)
Mchezo huo utachezeshwa na mwamuzi Martin Saanya kutoka Morogoro, akisaidiwa na Soud Lila (DSM) mshika kibendera wa kwanza, Florentina Zabron (Dodoma) mshika kibendera wa pili, Mwamuzi wa akiba Israel Mjuni (DSM), na kamisaa wa mchezo ni Ame Santimeya (DSM).
Viingilio vya mchezo...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/PM1Rh7PyfXw/default.jpg)
9 years ago
Raia Mwema23 Sep
Ni mpambano kati ya Shitambala na Mbilinyi
ZIKIWA zimebaki siku takribani 35 kupiga kura, ushindani katika Jimbo la Mbeya Mjini umebaki kati
Felix Mwakyembe
5 years ago
BBCSwahili08 Mar
Rais Magufuli aibua gumzo la ushabiki wake kati ya Simba na Yanga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLae4OHZYtkPd3*6cLI4TpjxcFvhg7Uw4i3j6x*z0DjInOHYJRkex9IdP4AsR-NSNkniZhHNsd0IXKYZoGHO1tZ9w/mkanda.jpg)
DONDOO KUELEKEA MPAMBANO WA KIHISTORIA KATI YA MONEY NA PACMAN
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XP1HwsPGdbfoVQEI5u2-*TQOXYPu4SOvIs73FSnwptrxKMb1it10Jm4U*WvZezBqN8twR20LnZWmqHEHZjIHPGKoH5rxJuUc/1.jpg?width=650)
MASTAA WALIOHUDHURIA MPAMBANO WA KARNE KATI YA MAYWEATHER NA PACQUIAO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nII-N*HRVI0NvnsB5MjQkU10It0XV85Cbxq*Nq**X2R4XkaYyDpDMNhBmkXF5O8z5R3N9-LiCVPGY85niZjIMKGjbCKD4UtM/bayless.jpg)
KENNY BAYLESS NDIYE MWAMUZI WA MPAMBANO KATI YA MAYWEATHER NA PACQUIAO
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-sJLx6kt8kQ8/VQrm15W_U9I/AAAAAAAHLgo/WUWdgUSI2v8/s72-c/540px-Boxing_OP_(3)-page-001.png)
Kuelekea Mpambano Ndondi kati ya Mohamed Matumla na Wang Xin Hua wa China
![](http://2.bp.blogspot.com/-sJLx6kt8kQ8/VQrm15W_U9I/AAAAAAAHLgo/WUWdgUSI2v8/s1600/540px-Boxing_OP_(3)-page-001.png)
Wakati bondia Mohamed Matumla Jr akiwa katika mazoezi ya mwisho mwisho kumkabili Wang Xin Hua wa China, wenzake Thomas Mashali na Karama Nyilawila wametoleana uvivu huku kila mmoja akijigamba kutwaa ubingwa watakapozichapa Machi 27 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Matumla Jr atazichapa na Hua pambano la super bantam la ubingwa wa dunia wa (WBF World Eliminate) pambano maalumu kwa mabondia hao la kutafuta tiketi ya kucheza pambano la utangulizi kwenye lile...