Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DONDOO KUELEKEA MPAMBANO WA KIHISTORIA KATI YA MONEY NA PACMAN

Floyd Mayweather (kushoto) na Manny Pacquiao wakipozi na mkanda wa WBC jana wakati wa mkutano na wanahabari. SIKU mbili tu zimebaki kuelekea mpambano wa kihistoria wa ngumi za kulipwa utakaowakutanisha mabondia Floyd Mayweather (Money) na Manny Pacquiao (Pacman) ndani ya Ukumbi wa MGM Grand jijini Las Vegas, Marekani. Muonekano wa sasa wa Hoteli ya MGM Grand iliyopo jijini Las Vegas, Marekani. Mpambano huo umekuwa gumzo kote...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kuelekea Mpambano Ndondi kati ya Mohamed Matumla na Wang Xin Hua wa China

Mwandishi Wetu
Wakati bondia Mohamed Matumla Jr akiwa katika mazoezi ya mwisho mwisho kumkabili Wang Xin Hua wa China, wenzake Thomas Mashali na Karama Nyilawila wametoleana uvivu huku kila mmoja akijigamba kutwaa ubingwa watakapozichapa Machi 27 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Matumla Jr atazichapa na Hua pambano la super bantam la ubingwa wa dunia wa (WBF World Eliminate) pambano maalumu kwa mabondia hao la kutafuta tiketi ya kucheza pambano la utangulizi kwenye lile...

 

9 years ago

Raia Mwema

Ni mpambano kati ya Shitambala na Mbilinyi

ZIKIWA zimebaki siku takribani 35 kupiga kura, ushindani katika Jimbo la Mbeya Mjini umebaki kati

Felix Mwakyembe

 

10 years ago

GPL

MASTAA WALIOHUDHURIA MPAMBANO WA KARNE KATI YA MAYWEATHER NA PACQUIAO

Beyonce na Jay Z wakifuatilia mpambano wa Floyd Mayweather na Manny Pacquiao.
Justin Bieber katika pozi na Floyd Mayweather kabla ya pambano lake dhidi ya Manny Pacquiao leo alfajiri. Bondia wa zamani, Mike Tyson akiwa ndani ya Ukumbi wa MGM Grand jijini Las Vegas, Marekani.…

 

10 years ago

Vijimambo

KUJIANDA NA MPAMBANO WA JUMAPILI KATI YA YANGA NA SIMBA PLUIJM ATIRIRIKA

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema wiki moja ya maandalizi kwa ajili ya Simba, itawasaidia sana.Yanga inaivaa Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara utakayopigwa Jumapili ijayo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.Tayari Yanga iko kambini mjini Bagamoyo ambako ilipitiliza moja kwa baada ya kutua nchini ikitokea Botswana. "Pluijm amesema kuwa wiki moja itawasaidia kurekebisha makosa kadhaa.“Makosa hayaishi katika mpira, lakini wiki moja ya maandalizi itatupa nafasi nzuri.“Ukiona timu...

 

10 years ago

GPL

KENNY BAYLESS NDIYE MWAMUZI WA MPAMBANO KATI YA MAYWEATHER NA PACQUIAO

Bayless akiongoza mpambano kati ya Mayweather (kulia) na Maidana wakati wa mpambano wa Septemba 2014. Bayless akimvuta Pacquiao (kushoto) wakati alipovaana na Ricky Hatton mwaka 2009. Manny Pacquiao akijifua kwa mpambano wake dhidi ya Floyd Mayweather Mei 2, mwaka huu. MWAMUZI veterani wa ndondi, Kenny…

 

10 years ago

Michuzi

Bondia wa zamani Francois Botha azungumzia mpambano kati ya Mohamed Matumla na Mchina Wang Xin Hua

Bondia wa zamani wa uzito juu Duniani,Francois Botha (kulia) akiwa na Mtangazaji machachari wa Michezo hapa nchini kupitia Kituo cha Redio EFM,Maulid Baraka Kitenge mara baada ya kufanya nae Mahojino katika kipindi cha Sports Headquartes mapema leo asubuhi.Botha yupo jijini Dar tayari kushuhudia pambano la Kimataifa la Masumbwi la Mtanzania Mohamed Matumla na Mchina Wang Xin Hua ambao litakalopigwa katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Ijumaa Machi 27,2015. 

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DK. JAKAYA KIKWETE KUONGOZA KONGAMANO LA KUELEKEA UCHUMI WA KATI IFIKAPO 2025

 Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Kongamano  kongamano la kuchochea uzalishaji mali, Prof.Leonard  Mwaikambo akizungumza na waandishi wa habari juu ya lengo la kongamano ni kutoa fursa kwa watanzania kwa jumla kuelewa malengo na mwelekeo wa taifa letu kufikia uchumi wa kati .Waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Kongamano  Profesa,Leonard  Mwaikambo.
Na Emmanuel  Massaka ,Globu ya JamiiRAIS Dk. Jakaya  Kikwete   anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani