Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msuva alimzuia mdogo wake kusaini Yanga

JAMES Msuva ambaye ni mdogo wake kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva. Na Wilbert Molandi
JAMES Msuva ambaye ni mdogo wake kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, ametamka kuwa angesaini muda mrefu kuichezea Jangwani, lakini kaka yake ndiye kizuizi kikubwa kwake. Simba hivi sasa ipo kwenye mazungumzo na James mwenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi ndani ya uwanja ambazo ni namba 7, 10 na 11, kwa kumsainisha mkataba wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Yanga yaipoka Simba mdogo wake Msuva

Straika wa Simba, James Msuva. Na Nicodemus Jonas
KLABU ya Yanga imetangaza nia ya kumuondoa kikosini straika wa Simba, James Msuva ambaye ni mdogo wa winga wa Yanga, Simon Msuva kwa kile walichosema Simba haina uhalali wa kummiliki mchezaji huyo ambaye bado yupo mikononi mwa Klabu ya Wakati Ujao. Katibu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha ambaye ni mwasisi wa Klabu ya Wakati Ujao, amesisitiza kuwa kwake ni muhimu kumuondoa mchezaji...

 

11 years ago

Bongo5

Diamond atoa sababu za kuwatumia wazungu kwenye video ya ‘Mdogo mdogo’, script iliandikwa na Adam Kuambiana na ‘baby’ wake (Wema)

Kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video ya ‘Mdogo mdogo’ ya Diamond Platnumz iliyotoka Jumatatu ya wiki hii. Wapo ambao wamefurahishwa na story iliyoko kwenye video hiyo na wengine ambao hawajaiunga mkono moja kwa moja kutokana na kila mmoja kuwa na sababu tofauti hali ambayo imeleta mabishano mengi katika comments za youtube na kwingine. Lakini […]

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga mdogo mdogo, Mtibwa kileleni

Yanga imeendelea kutoa dozi Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa 2-1 JKT Ruvu katika mechi iliyochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa huku Mtibwa Sugar ikiichapa Mgambo Shooting 1-0 kwenye Uwanja wa Manungu, Morogoro na kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Diego kusaini miaka miwili Yanga

Kiungo mpya wa Yanga, Issoufou Boubacar ‘Diego’ amefuzu vipimo vya afya na muda wowote leo anatarajiwa  kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu hiyo.  

 

10 years ago

GPL

Niyonzima agoma kusaini mkataba mpya Yanga SC

Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima. Na Elius Kambili,
YANGA wajanja sana, kwani wanataka Haruna Niyonzima asaini mkataba mpya na klabu yao halafu malipo yafanyike baadaye kwa awamu jambo ambalo limepingwa na kiungo huyo raia wa Rwanda. Niyonzima ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao mikataba yao itafikia tamati mwishoni mwa msimu huu wa Ligi Kuu Bara ifikapo Mei, mwaka huu.Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa kiungo huyo,...

 

10 years ago

Michuzi

MRISHO NGASSA ATUMISHA MSULI, AGOMA KUSAINI YANGA!


Mrisho Ngassa amegoma kusaini mkataba mpya na Yanga mpaka uongozi utakampomlipa deni lake la Sh45 milioni, akidai kwamba uongozi wa Yanga ulimuhadaa akope fedha zake benki ya CRDB ili ailipe Simba kwa kile walichomuadi kumlipia deni hilo. 

"Yanga wasipotoshe ukweli...wao waliniambia nikope fedha, watalipa. Matokeo yake wananikata mshahara wangu wote, nimegoma kusaini ndiyo! Mpaka wanilipe deni langu Sh45 milioni wakishanilipa nitakubali kukaa mezani tujadili mkataba mpya."alisema...

 

10 years ago

Vijimambo

Yanga wamchanganya Msuva


Straika wa Yanga, Simon Msuva, akiwa na zawadi yake ya mchele aliyopewa na shabiki wa timu yake kutokana na jitihada zake anazofanya uwanjani. 
Msuva ambaye ni kinara wa mabao kwenye safu ya ufungaji bora baada ya kufunga 13, alizawadiwa kilo 30 za mchele wa Mbeya baada ya mechi yao na Mbeya City waliyoshinda 3-1 kumalizika. Zawadi hiyo imetolewa na shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga.MASHABIKI wa soka wanamchanganya mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva lakini mwenyewe akasema kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiwango champoteza Msuva Yanga

Ni nini kinachomsumbua Simon Msuva? Hili ni swali ambalo wadau wa soka nchini wanajiuliza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani