Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diego kusaini miaka miwili Yanga

Kiungo mpya wa Yanga, Issoufou Boubacar ‘Diego’ amefuzu vipimo vya afya na muda wowote leo anatarajiwa  kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu hiyo.  

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

OKWI AKISAINI YANGA MIAKA MIWILI NA NUSU

Emmanuel Okwi akiweka alama ya dole gumba mbele ya Mjumbe wa Kamati ya Mashindano wa Yanga, Musa Katabaro (kushoto) wakati akisaini mkataba wa kuichezea Yanga miaka miwili na nusu mpaka mwishoni mwa msimu wa 2015/2016. Kulia ni Mwanasheria/Meneja wa Okwi, Edgar Agaba. (Picha na Yanga).

 

10 years ago

GPL

Msuva amkomesha baba yake, asaini miaka miwili Yanga

Winga wa Yanga, Simon Msuva. Wilbert Molandi, Dar es Salaam KAMA amemkomesha baba yake mzazi vile, winga Simon Msuva amesaini mkataba mwingine wa miaka miwili ya kuendelea kuichezea Yanga inayojiandaa na Kombe la Kagame, Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika. Awali, baba wa winga huyo, Happygod Msuva, alimzuia mwanaye kusaini mkataba mwingine wa kuendelea kuichezea Yanga, badala yake aende Simba akapate changamoto mpya....

 

10 years ago

GPL

Niyonzima agoma kusaini mkataba mpya Yanga SC

Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima. Na Elius Kambili,
YANGA wajanja sana, kwani wanataka Haruna Niyonzima asaini mkataba mpya na klabu yao halafu malipo yafanyike baadaye kwa awamu jambo ambalo limepingwa na kiungo huyo raia wa Rwanda. Niyonzima ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao mikataba yao itafikia tamati mwishoni mwa msimu huu wa Ligi Kuu Bara ifikapo Mei, mwaka huu.Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa kiungo huyo,...

 

10 years ago

GPL

Msuva alimzuia mdogo wake kusaini Yanga

JAMES Msuva ambaye ni mdogo wake kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva. Na Wilbert Molandi
JAMES Msuva ambaye ni mdogo wake kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, ametamka kuwa angesaini muda mrefu kuichezea Jangwani, lakini kaka yake ndiye kizuizi kikubwa kwake. Simba hivi sasa ipo kwenye mazungumzo na James mwenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi ndani ya uwanja ambazo ni namba 7, 10 na 11, kwa kumsainisha mkataba wa...

 

10 years ago

Michuzi

MRISHO NGASSA ATUMISHA MSULI, AGOMA KUSAINI YANGA!


Mrisho Ngassa amegoma kusaini mkataba mpya na Yanga mpaka uongozi utakampomlipa deni lake la Sh45 milioni, akidai kwamba uongozi wa Yanga ulimuhadaa akope fedha zake benki ya CRDB ili ailipe Simba kwa kile walichomuadi kumlipia deni hilo. 

"Yanga wasipotoshe ukweli...wao waliniambia nikope fedha, watalipa. Matokeo yake wananikata mshahara wangu wote, nimegoma kusaini ndiyo! Mpaka wanilipe deni langu Sh45 milioni wakishanilipa nitakubali kukaa mezani tujadili mkataba mpya."alisema...

 

9 years ago

Michuzi

NYOSO AFUNGIWA MIAKA MIWILI

NYOSO AFUNGIWA MIAKA MIWILIKamati ya masaa 72 ya uendeshaji wa Ligi Kuu iliyokutana leo kupitia ripoti mbalimbali za michezo iliyochezwa ya Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza nchini imemfungia mchezji Juma Nyoso wa timu ya Mbeya City kucheza mpira wa miguu kwa kipindi cha miaka miwili na faini ya shilingi milioni mbili (2,000,000) kufutia kitendo cha udhalilishaji alichomfanyia mchezaji wa Azam FC John Bocco.Nyoso alifanya kitendo hicho katika mchezo no namba 32 wa VPL kati ya Azam FC na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Santo miaka miwili Simba

KLABU ya Simba imesajili nyota wawili Wakenya; Raphael Mungai kutoka Klabu ya KCB ya Kenya anayecheza nafasi ya ushambuliaji na kiungo wake wa zamani, Jerry Santo akitokea Coastal Union ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri aomba miaka miwili

Kocha wa Simba, Mzambia Patrick Phiri amesema iwapo klabu yake itamvumilia kwa miaka miwili atatengeneza wachezaji bora kama ilivyo kwa nyota wa TP Mazembe ya DR Congo (DRC), Mbwana Samatta.

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Mtoto ateswa miaka miwili

>Mtoto Merina Mathayo (15) amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (Moi) Muhimbili Dar es Salaam, baada ya kuteswa na kujeruhiwa  kichwani kwa kipigo maeneo mbalimbali ya mwili na bosi wake kwa miaka miwili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani