Santo miaka miwili Simba
KLABU ya Simba imesajili nyota wawili Wakenya; Raphael Mungai kutoka Klabu ya KCB ya Kenya anayecheza nafasi ya ushambuliaji na kiungo wake wa zamani, Jerry Santo akitokea Coastal Union ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MKUDE ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA SC
Kiungo wa timu ya Simba SC, Jonas Gerald Mkude (katikati) akisani mkataba mpya mbele ya Rais wa Simba , Evans Aveva (kulia), Zachalia Hans Pope (kushoto) Jonas Gerald Mkude (katikati) akiweka saini ya dole gumba katika mkataba mpya mbele ya Rais wa Simba , Evans Aveva (kulia), Zachalia Hans Pope (kushoto). KIUNGO wa Simba SC, Jonas Gerald Mkude amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea Simba SC na kusema bado nipo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwlzDvRWJ5ZSsq*JgPr9UwLcA2Gm1MUTORrSPnqbFfWkCOAoE8GKY5McvNMrhx5Nu-1n5wHKpep7ArAi*RRru*WB/1.jpg?width=650)
Kipa Barthez asaini Simba miaka miwili
Kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’. Na Musa Mateja
SIKU moja kabla ya kuumana na Simba, Championi Ijumaa limepata taarifa za uhakika kuwa kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’ amefikia makubaliano ya kuondoka klabuni hapo na sasa ataichezea Simba msimu ujao. Barthez ambaye amekuwa na wakati mgumu wa kupata nafasi kwenye kikosi cha Yanga hivi sasa, imeelezwa kuwa ameshaafikiana na Yanga kuwa...
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Phiri aomba miaka miwili
Kocha wa Simba, Mzambia Patrick Phiri amesema iwapo klabu yake itamvumilia kwa miaka miwili atatengeneza wachezaji bora kama ilivyo kwa nyota wa TP Mazembe ya DR Congo (DRC), Mbwana Samatta.
9 years ago
Michuzi30 Sep
NYOSO AFUNGIWA MIAKA MIWILI
NYOSO AFUNGIWA MIAKA MIWILI
Kamati ya masaa 72 ya uendeshaji wa Ligi Kuu iliyokutana leo kupitia ripoti mbalimbali za michezo iliyochezwa ya Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza nchini imemfungia mchezji Juma Nyoso wa timu ya Mbeya City kucheza mpira wa miguu kwa kipindi cha miaka miwili na faini ya shilingi milioni mbili (2,000,000) kufutia kitendo cha udhalilishaji alichomfanyia mchezaji wa Azam FC John Bocco.Nyoso alifanya kitendo hicho katika mchezo no namba 32 wa VPL kati ya Azam FC na...
![](http://tff.or.tz/images/gs.png)
11 years ago
Mwananchi14 Jun
UKATILI: Mtoto ateswa miaka miwili
>Mtoto Merina Mathayo (15) amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (Moi) Muhimbili Dar es Salaam, baada ya kuteswa na kujeruhiwa kichwani kwa kipigo maeneo mbalimbali ya mwili na bosi wake kwa miaka miwili.
9 years ago
Vijimambo29 Sep
Nyosso kufungiwa miaka miwili TFF.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Malinzi-29Katuni2015.png)
Wakati Rais wa TFF, Jamal Malinzi, ameweka wazi kuwa shirikisho hilo la soka nchini litamwadhibu Juma Nyosso, beki huyo wa kati wa Mbeya City yuko hatarini kufungiwa miaka miwili kucheza soka kutokana na kurudia tabia yake chafu ya kupenyeza kidole katikati ya makalio ya wachezaji wa timu pinzani.
Aidha, mshambuliaji Donald Ngoma wa Yanga yuko hatarini kufungiwa mechi tatu na kupigwa faini kutokana na kumpiga kichwa kwa makusudi mbali na ulipokuwapo mpira...
9 years ago
Mwananchi15 Dec
Diego kusaini miaka miwili Yanga
Kiungo mpya wa Yanga, Issoufou Boubacar ‘Diego’ amefuzu vipimo vya afya na muda wowote leo anatarajiwa  kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu hiyo. Â
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Miaka miwili bila Regia Mtema
JANA ilitimia miaka miwili tangu alipofariki Mbunge wa Viti Maalum, Regia Mtema (CHADEMA), katika kifo kilichosababishwa na ajali mbaya ya gari mkoani Pwani, Januari 14, 2011. Misa takatifu ya kumbukumbu...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SQwzYHcv9mQ/U9seZvrfWaI/AAAAAAACmi4/EiFs198dfQ4/s72-c/JOSEPH+MTURI+PHOTOS.jpg)
Kumbukumbu ya Miaka Miwili (1955-2012)
![](http://3.bp.blogspot.com/-SQwzYHcv9mQ/U9seZvrfWaI/AAAAAAACmi4/EiFs198dfQ4/s1600/JOSEPH+MTURI+PHOTOS.jpg)
Japokuwa haupo nasi hapa duniani lakini tupo nawe kiroho kwa kuendeleza mema yote uliyotufundisha na kutuasa. Tunakukumbuka kwa Upole, Upendo, Busara na Ukarimu uliokuwa nao kwa familia na Marafiki. Mwongozo na matendo yako yataendelea kuwa dira kwetu.
Daima...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania