Kipa Barthez asaini Simba miaka miwili
![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwlzDvRWJ5ZSsq*JgPr9UwLcA2Gm1MUTORrSPnqbFfWkCOAoE8GKY5McvNMrhx5Nu-1n5wHKpep7ArAi*RRru*WB/1.jpg?width=650)
Kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’. Na Musa Mateja SIKU moja kabla ya kuumana na Simba, Championi Ijumaa limepata taarifa za uhakika kuwa kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’ amefikia makubaliano ya kuondoka klabuni hapo na sasa ataichezea Simba msimu ujao. Barthez ambaye amekuwa na wakati mgumu wa kupata nafasi kwenye kikosi cha Yanga hivi sasa, imeelezwa kuwa ameshaafikiana na Yanga kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MKUDE ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA SC
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
KAVUMBANGU ASAINI MIAKA MIWILI AZAM FC
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Singano asaini miaka miwili Azam FC
YAMETIMIA. Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba Ramadhan Singano ‘Messi’, jana ameingia mkataba wa miaka miwili kuichezea Klabu ya Azam FC.
Kabla Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji mwanzoni mwa wiki hii kumuidhinisha Singano kuwa huru baada ya klabu yake ya zamani, Simba kushindwa kutekeleza matakwa ya mkataba wake, kulikuwa na tetesi kuwa Azam FC walitaka kumsajili.
Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Idd, alisema kuwa klabu yao imemsainisha mchezaji huyo mkataba wa miaka miwili...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W-BK82a1Gsv29f8EBk5t*LbBpcdhMHYzD1lb1FDE1LvOA2XZ6W8yOXfM8jY52QzjBoMWabtbbk9y3oJRTrvB9onmsNMHPVTp/Msuva.jpg?width=650)
Msuva amkomesha baba yake, asaini miaka miwili Yanga
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-nNyWxeaBYtA/VYrkn4D1FpI/AAAAAAAHjmA/vZFVmHluLr8/s72-c/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
MAYANJA ATUA TANGA, ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUIFUNDISHA COASTAL UNION
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Santo miaka miwili Simba
KLABU ya Simba imesajili nyota wawili Wakenya; Raphael Mungai kutoka Klabu ya KCB ya Kenya anayecheza nafasi ya ushambuliaji na kiungo wake wa zamani, Jerry Santo akitokea Coastal Union ya...
11 years ago
Mwananchi01 May
Barthez anukia Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwm1fj0xdPSt6Z28lyz3GI5H2BXU1SoN5fOIpS4uivUYB6LalC-9zMUd7mcmzdFsbEcxvL0PFJzCq3zK1bhs*JEP/KIPA.jpg?width=650)
Kipa Simba afunguka kuhusu ushoga
9 years ago
Mwananchi02 Dec
Kipa APR aziota Yanga, Simba