Singano asaini miaka miwili Azam FC
YAMETIMIA. Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba Ramadhan Singano ‘Messi’, jana ameingia mkataba wa miaka miwili kuichezea Klabu ya Azam FC.
Kabla Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji mwanzoni mwa wiki hii kumuidhinisha Singano kuwa huru baada ya klabu yake ya zamani, Simba kushindwa kutekeleza matakwa ya mkataba wake, kulikuwa na tetesi kuwa Azam FC walitaka kumsajili.
Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Idd, alisema kuwa klabu yao imemsainisha mchezaji huyo mkataba wa miaka miwili...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
KAVUMBANGU ASAINI MIAKA MIWILI AZAM FC
10 years ago
Vijimambo10 Jul
Singano asaini Azam, Simba yamtibulia

Kiungo mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’ akisaini mkataba.
KIUNGO mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Azam FC, ikiwa ni siku moja baada ya kutamkwa kuwa ni mchezaji huru aliyemalizana na Simba.Singano alisaini mkataba huo jana lakini nyuma ya pazia imebainika kuwa kumbe Simba nayo iliamua kutibua dili lililokuwa likinukia kwa mchezaji huyo kutakiwa kwenda nchini Austria kucheza soka la kulipwa.Akizungumza na Championi Ijumaa, Ofisa Habari...
10 years ago
GPL
MKUDE ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA SC
11 years ago
GPL
Kipa Barthez asaini Simba miaka miwili
10 years ago
GPL
Msuva amkomesha baba yake, asaini miaka miwili Yanga
10 years ago
Michuzi
MAYANJA ATUA TANGA, ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUIFUNDISHA COASTAL UNION
10 years ago
Raia Tanzania09 Jul
Azam FC yamkaribisha Singano
BAADA ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) nchini kumuweka huru mchezaji Ramadhan Singano, uongozi wa klabu ya Azam umesema uko tayari kumsajili mchezaji huyo kama atapenda kuchezea timu hiyo.
Azam imekuwa ikihusishwa na kumsajili mchezaji huyo hata kabla ya kutamalizika kwa suala lake hilo lililokuwa linahusu utata wa kimkataba na klabu yake ya Simba.
Mara nyingi uongozi wa Azam ulikuwa ukikana taarifa za kufanya mazungumzo na mchezaji huyo na kusema kuwa hauwezi kumsajili...
9 years ago
Habarileo06 Nov
Singano kamili kuibeba Azam
WINGA Ramadhani Singano ‘Messi,’ amesema yupo tayari kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha Azam FC kinachoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuzoea mfumo unaotumiwa na kocha Stewart Hall.
10 years ago
Mwananchi31 May
Mzozo Simba SC , Singano kuinufaisha Azam