Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzozo Simba SC , Singano kuinufaisha Azam

Dar es Salaam. ‘Vita ya panzi furaha ya kunguru’, ndivyo unavyoweza kufananisha msemo huo na malumbano yanayoendelea baina ya Ramadhani Singano ‘Messi’ na klabu yake, Simba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Singano asaini Azam, Simba yamtibulia


Kiungo mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’ akisaini mkataba.
KIUNGO mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Azam FC, ikiwa ni siku moja baada ya kutamkwa kuwa ni mchezaji huru aliyemalizana na Simba.Singano alisaini mkataba huo jana lakini nyuma ya pazia imebainika kuwa kumbe Simba nayo iliamua kutibua dili lililokuwa likinukia kwa mchezaji huyo kutakiwa kwenda nchini Austria kucheza soka la kulipwa.Akizungumza na Championi Ijumaa, Ofisa Habari...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Azam FC yamkaribisha Singano

BAADA ya  Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) nchini kumuweka huru mchezaji Ramadhan Singano, uongozi wa klabu ya Azam umesema uko tayari kumsajili mchezaji huyo kama atapenda kuchezea timu hiyo.

Azam imekuwa ikihusishwa na kumsajili mchezaji huyo hata kabla ya kutamalizika  kwa suala lake hilo lililokuwa linahusu utata wa kimkataba na klabu yake ya Simba.

Mara nyingi  uongozi wa  Azam   ulikuwa ukikana taarifa za  kufanya mazungumzo na mchezaji huyo na kusema  kuwa hauwezi kumsajili...

 

9 years ago

Habarileo

Singano kamili kuibeba Azam

WINGA Ramadhani Singano ‘Messi,’ amesema yupo tayari kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha Azam FC kinachoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuzoea mfumo unaotumiwa na kocha Stewart Hall.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Singano asaini miaka miwili Azam FC

YAMETIMIA. Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba Ramadhan Singano ‘Messi’, jana ameingia mkataba wa miaka miwili kuichezea Klabu ya Azam FC.

Kabla Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji mwanzoni mwa wiki hii kumuidhinisha Singano kuwa huru baada ya klabu yake ya zamani, Simba kushindwa kutekeleza matakwa ya mkataba wake, kulikuwa na tetesi  kuwa Azam FC walitaka kumsajili.

Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Idd, alisema kuwa klabu yao imemsainisha mchezaji huyo mkataba wa miaka miwili...

 

10 years ago

GPL

Mkataba wa Simba, Singano

Kiungo wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’. Na Mwandishi Wetu
SAKATA kubwa linaloutikisa mpira wa Tanzania sasa ni ule mkataba kati ya kiungo Ramadhani Singano ‘Messi’ na klabu yake ya Simba.Messi anasema mkataba wake unaisha 2015, lakini Simba inasisitiza mkataba wao na Messi unaisha mwaka 2016, jambo ambalo linazua tafrani kubwa. Championi Jumatatu lina kopi ya mikataba yote miwili, ule wa Simba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Simba kujadili mkataba wa Singano

Uongozi wa klabu ya Simba umeagizwa kuanza mazungumzo mapya na mchezaji Ramadhani Singano baada ya mvutano wa mkataba wake.

 

10 years ago

Vijimambo

NDOA YA SIMBA NA SINGANO YAPALAGANYISHWA NA TFF

Ramadhani Singano 'Messi'.SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), leo limeamua kuwa, mchezaji Ramadhani Yahya Singano 'Messi' ni huru na sasa anaweza kujiunga na timu yoyote.Taarifa kutoka kwenye kikao cha Kamati ya Sheria Maadili na Hadhi za Wachezaji ya TFF kilichofanyika leo, imesema kwamba Simba SC walishindwa kutekeleza baadhi ya vipengele vya Mkataba, hivyo wanapoteza haki za kummiliki mchezaji huyo.
Chini ya Mwenyekiti wake, Richard Sinamtwa, Kamati hiyo imejiridhisha Messi hakuwahi kupewa...

 

10 years ago

GPL

MKATABA WA SIMBA NA SINGANO WAVUNJWA NA TFF

Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi'. LEO sakata la kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' lilikuwa linasikilizwa kwenye ofisi za TFF ambapo pandehizo  mbili zilikutana chini ya TFF. Baada ya kikao kirefu muafaka uliofikiwa chini ya TFF  kuvunjwa kwa mikataba yote miwili ambayo inatofautiana. Kikao kimeamua mkataba alionao Messi uvunjwe na mkataba walionao Simba uvunjwe waingie makubaliano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani