MKATABA WA SIMBA NA SINGANO WAVUNJWA NA TFF
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi'. LEO sakata la kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' lilikuwa linasikilizwa kwenye ofisi za TFF ambapo pandehizo mbili zilikutana chini ya TFF. Baada ya kikao kirefu muafaka uliofikiwa chini ya TFF kuvunjwa kwa mikataba yote miwili ambayo inatofautiana. Kikao kimeamua mkataba alionao Messi uvunjwe na mkataba walionao Simba uvunjwe waingie makubaliano...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi10 Jun
MKATABA:TFF yajikanyaga kesi ya Singano
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx23W0In6GfSMswb8-r7dsZvrgsTkS6vlBNMQWSLfVlz8iY0-zXmWisFsaWCUT4Cq9d-13iI3PuMu4QAMSDIEy1Q7/1.gif?width=650)
Mkataba wa Simba, Singano
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
Simba kujadili mkataba wa Singano
10 years ago
Mwananchi09 Jul
MAONI : Mkataba wa Simba, Singano tuambiwe ukweli
10 years ago
Vijimambo07 Jul
NDOA YA SIMBA NA SINGANO YAPALAGANYISHWA NA TFF
![](http://api.ning.com/files/o1QX7UF1Vt6xhLvFzlBbqGHcKiSqKGZnsrpAlwCDwbHf6cAflKjtrshgXKGK06K6oZBVqdbRZm0Zbzc83VdZft*CVhxF5d7a/11013069_415704225288903_416818412053294542_n.jpg?width=650)
Chini ya Mwenyekiti wake, Richard Sinamtwa, Kamati hiyo imejiridhisha Messi hakuwahi kupewa...
10 years ago
Vijimambo09 Jun
NDOA YA SINGANO 'MESSI' WA SIMBA YA FUNYWA RASMI NA TFF.
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/SINGAN.jpg)
Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi'.
LEO sakata la kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' lilikuwa linasikilizwa kwenye ofisi za TFF ambapo pandehizo mbili zilikutana chini ya TFF.Baada ya kikao kirefu muafaka uliofikiwa chini ya TFF kuvunjwa kwa mikataba yote miwili ambayo inatofautiana.
Kikao kimeamua mkataba alionao Messi uvunjwe na mkataba walionao Simba uvunjwe waingie makubaliano mapya.
Upande wa Singano haujakubaliana na maamuzi hayo kwa sababu unamtaka...
10 years ago
Mwananchi15 Jun
MAONI : Hili la Singano, Simba na TFF liwe fundisho
10 years ago
Mwananchi31 May
Mzozo Simba SC , Singano kuinufaisha Azam