Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkataba wa Simba, Singano

Kiungo wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’. Na Mwandishi Wetu
SAKATA kubwa linaloutikisa mpira wa Tanzania sasa ni ule mkataba kati ya kiungo Ramadhani Singano ‘Messi’ na klabu yake ya Simba.Messi anasema mkataba wake unaisha 2015, lakini Simba inasisitiza mkataba wao na Messi unaisha mwaka 2016, jambo ambalo linazua tafrani kubwa. Championi Jumatatu lina kopi ya mikataba yote miwili, ule wa Simba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Simba kujadili mkataba wa Singano

Uongozi wa klabu ya Simba umeagizwa kuanza mazungumzo mapya na mchezaji Ramadhani Singano baada ya mvutano wa mkataba wake.

 

10 years ago

GPL

MKATABA WA SIMBA NA SINGANO WAVUNJWA NA TFF

Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi'. LEO sakata la kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' lilikuwa linasikilizwa kwenye ofisi za TFF ambapo pandehizo  mbili zilikutana chini ya TFF. Baada ya kikao kirefu muafaka uliofikiwa chini ya TFF  kuvunjwa kwa mikataba yote miwili ambayo inatofautiana. Kikao kimeamua mkataba alionao Messi uvunjwe na mkataba walionao Simba uvunjwe waingie makubaliano...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Mkataba wa Simba, Singano tuambiwe ukweli

Tanzania, siku zote imekuwa ni nchi inayoendeshwa kwa kuzingatia kanuni, sheria na taratibu zinazosimamia sekta mbalimbali, ikiwamo michezo ambako kwa siku za karibuni imeshuhudia mabadiliko makubwa.

 

10 years ago

Mwananchi

MKATABA:TFF yajikanyaga kesi ya Singano

Huku ikionekana dhahiri kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemlazimisha mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’ kubaki Simba, mchezaji huyo alibubujikwa machozi hadharani huku akisema analiacha jambo hilo mbele ya Mungu.

 

10 years ago

Vijimambo

NDOA YA SIMBA NA SINGANO YAPALAGANYISHWA NA TFF

Ramadhani Singano 'Messi'.SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), leo limeamua kuwa, mchezaji Ramadhani Yahya Singano 'Messi' ni huru na sasa anaweza kujiunga na timu yoyote.Taarifa kutoka kwenye kikao cha Kamati ya Sheria Maadili na Hadhi za Wachezaji ya TFF kilichofanyika leo, imesema kwamba Simba SC walishindwa kutekeleza baadhi ya vipengele vya Mkataba, hivyo wanapoteza haki za kummiliki mchezaji huyo.
Chini ya Mwenyekiti wake, Richard Sinamtwa, Kamati hiyo imejiridhisha Messi hakuwahi kupewa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzozo Simba SC , Singano kuinufaisha Azam

Dar es Salaam. ‘Vita ya panzi furaha ya kunguru’, ndivyo unavyoweza kufananisha msemo huo na malumbano yanayoendelea baina ya Ramadhani Singano ‘Messi’ na klabu yake, Simba.

 

10 years ago

Vijimambo

Singano asaini Azam, Simba yamtibulia


Kiungo mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’ akisaini mkataba.
KIUNGO mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Azam FC, ikiwa ni siku moja baada ya kutamkwa kuwa ni mchezaji huru aliyemalizana na Simba.Singano alisaini mkataba huo jana lakini nyuma ya pazia imebainika kuwa kumbe Simba nayo iliamua kutibua dili lililokuwa likinukia kwa mchezaji huyo kutakiwa kwenda nchini Austria kucheza soka la kulipwa.Akizungumza na Championi Ijumaa, Ofisa Habari...

 

10 years ago

Vijimambo

NDOA YA SINGANO 'MESSI' WA SIMBA YA FUNYWA RASMI NA TFF.


Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi'.
LEO sakata la kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' lilikuwa linasikilizwa kwenye ofisi za TFF ambapo pandehizo mbili zilikutana chini ya TFF.Baada ya kikao kirefu muafaka uliofikiwa chini ya TFF kuvunjwa kwa mikataba yote miwili ambayo inatofautiana.
Kikao kimeamua mkataba alionao Messi uvunjwe na mkataba walionao Simba uvunjwe waingie makubaliano mapya.
Upande wa Singano haujakubaliana na maamuzi hayo kwa sababu unamtaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani