NDOA YA SIMBA NA SINGANO YAPALAGANYISHWA NA TFF
Ramadhani Singano 'Messi'.SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), leo limeamua kuwa, mchezaji Ramadhani Yahya Singano 'Messi' ni huru na sasa anaweza kujiunga na timu yoyote.Taarifa kutoka kwenye kikao cha Kamati ya Sheria Maadili na Hadhi za Wachezaji ya TFF kilichofanyika leo, imesema kwamba Simba SC walishindwa kutekeleza baadhi ya vipengele vya Mkataba, hivyo wanapoteza haki za kummiliki mchezaji huyo.
Chini ya Mwenyekiti wake, Richard Sinamtwa, Kamati hiyo imejiridhisha Messi hakuwahi kupewa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo09 Jun
NDOA YA SINGANO 'MESSI' WA SIMBA YA FUNYWA RASMI NA TFF.
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/SINGAN.jpg)
Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi'.
LEO sakata la kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' lilikuwa linasikilizwa kwenye ofisi za TFF ambapo pandehizo mbili zilikutana chini ya TFF.Baada ya kikao kirefu muafaka uliofikiwa chini ya TFF kuvunjwa kwa mikataba yote miwili ambayo inatofautiana.
Kikao kimeamua mkataba alionao Messi uvunjwe na mkataba walionao Simba uvunjwe waingie makubaliano mapya.
Upande wa Singano haujakubaliana na maamuzi hayo kwa sababu unamtaka...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MKATABA WA SIMBA NA SINGANO WAVUNJWA NA TFF
10 years ago
Mwananchi15 Jun
MAONI : Hili la Singano, Simba na TFF liwe fundisho
10 years ago
Mwananchi10 Jun
MKATABA:TFF yajikanyaga kesi ya Singano
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx23W0In6GfSMswb8-r7dsZvrgsTkS6vlBNMQWSLfVlz8iY0-zXmWisFsaWCUT4Cq9d-13iI3PuMu4QAMSDIEy1Q7/1.gif?width=650)
Mkataba wa Simba, Singano
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
Simba kujadili mkataba wa Singano
10 years ago
Vijimambo10 Jul
Singano asaini Azam, Simba yamtibulia
![](http://api.ning.com/files/2Za8s5sYvAIcL1x*QUEA-ZrTMfVzCck*9ZybZwT6dmb1Syoswb*CVAHbON*B6DUpaFAo1NUuJrbnSsiebH6sueYkMp9UyrpD/11737180_920557287983039_2068690925_n.jpg?width=650)
Kiungo mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’ akisaini mkataba.
KIUNGO mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Azam FC, ikiwa ni siku moja baada ya kutamkwa kuwa ni mchezaji huru aliyemalizana na Simba.Singano alisaini mkataba huo jana lakini nyuma ya pazia imebainika kuwa kumbe Simba nayo iliamua kutibua dili lililokuwa likinukia kwa mchezaji huyo kutakiwa kwenda nchini Austria kucheza soka la kulipwa.Akizungumza na Championi Ijumaa, Ofisa Habari...
10 years ago
Mwananchi31 May
Mzozo Simba SC , Singano kuinufaisha Azam
10 years ago
Mwananchi09 Jul
MAONI : Mkataba wa Simba, Singano tuambiwe ukweli