Azam FC yamkaribisha Singano
BAADA ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) nchini kumuweka huru mchezaji Ramadhan Singano, uongozi wa klabu ya Azam umesema uko tayari kumsajili mchezaji huyo kama atapenda kuchezea timu hiyo.
Azam imekuwa ikihusishwa na kumsajili mchezaji huyo hata kabla ya kutamalizika kwa suala lake hilo lililokuwa linahusu utata wa kimkataba na klabu yake ya Simba.
Mara nyingi uongozi wa Azam ulikuwa ukikana taarifa za kufanya mazungumzo na mchezaji huyo na kusema kuwa hauwezi kumsajili...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi30 Oct
Azam yamkaribisha Magufuli rasmi
9 years ago
Habarileo06 Nov
Singano kamili kuibeba Azam
WINGA Ramadhani Singano ‘Messi,’ amesema yupo tayari kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha Azam FC kinachoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuzoea mfumo unaotumiwa na kocha Stewart Hall.
10 years ago
Vijimambo10 Jul
Singano asaini Azam, Simba yamtibulia
![](http://api.ning.com/files/2Za8s5sYvAIcL1x*QUEA-ZrTMfVzCck*9ZybZwT6dmb1Syoswb*CVAHbON*B6DUpaFAo1NUuJrbnSsiebH6sueYkMp9UyrpD/11737180_920557287983039_2068690925_n.jpg?width=650)
Kiungo mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’ akisaini mkataba.
KIUNGO mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Azam FC, ikiwa ni siku moja baada ya kutamkwa kuwa ni mchezaji huru aliyemalizana na Simba.Singano alisaini mkataba huo jana lakini nyuma ya pazia imebainika kuwa kumbe Simba nayo iliamua kutibua dili lililokuwa likinukia kwa mchezaji huyo kutakiwa kwenda nchini Austria kucheza soka la kulipwa.Akizungumza na Championi Ijumaa, Ofisa Habari...
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Singano asaini miaka miwili Azam FC
YAMETIMIA. Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba Ramadhan Singano ‘Messi’, jana ameingia mkataba wa miaka miwili kuichezea Klabu ya Azam FC.
Kabla Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji mwanzoni mwa wiki hii kumuidhinisha Singano kuwa huru baada ya klabu yake ya zamani, Simba kushindwa kutekeleza matakwa ya mkataba wake, kulikuwa na tetesi kuwa Azam FC walitaka kumsajili.
Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Idd, alisema kuwa klabu yao imemsainisha mchezaji huyo mkataba wa miaka miwili...
10 years ago
Mwananchi31 May
Mzozo Simba SC , Singano kuinufaisha Azam
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/dZGLY0Odl9I/default.jpg)
RAMADHAN SINGANO ‘MESSI’ KAWA MCHARO…HUU NDIO MSHAHARA WAKE MPYA NDANI YA AZAM FC
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/11737180_920557287983039_2068690925_n1.jpg)
Stori kubwa leo hii ni aliyekuwa winga wa Simba SC, Ramadhan Singano ‘Messi’ kusaini mkataba wa miaka miwili katika klabu ya Azam fc, ikiwa ni siku mbili tu tangu TFF wavunje mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi.
Messi amesaini mkataba mnono kwa dau la milioni 50 na atakuwa analipwa mshahara wa Milioni 2 kwa mwezi.
Kabla ya kuingia katika mgogoro wa kimkataba na Simba, Wekundu wa Msimbazi walitaka winga huyo asaini mkataba wa miaka miwili kwa dau la milioni 30 na mshahara wa milioni 1.5,...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
SAU yamkaribisha IGP Mwema
CHAMA cha Sauti ya Umma (SAU), kimemuomba Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini mstaafu, IGP Said Mwema kujiunga na chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ...
10 years ago
MichuziSERIKALI YAMKARIBISHA MWAKILISHI MKAZI MPYA WA JICA NCHINI
9 years ago
MichuziWIZARA YA MAJI YAMUAGA NAIBU KATIBU MKUU INJ. MWIHAVA, YAMKARIBISHA INJ. KALOBELO
Wizara ya Maji imemuaga rasmi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Inj. Ngossy Mwihava na kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu mpya, Inj. Emmanuel Kalobelo katika Makao Makuu ya Wizara hiyo Ubungo Maji jana.
“Naomba ushirikiano wenu ili tuweze kufanikisha azma ya...