Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAMADHAN SINGANO ‘MESSI’ KAWA MCHARO…HUU NDIO MSHAHARA WAKE MPYA NDANI YA AZAM FC


Stori kubwa leo hii ni aliyekuwa winga wa Simba SC, Ramadhan Singano ‘Messi’ kusaini mkataba wa miaka miwili katika klabu ya Azam fc, ikiwa ni siku mbili tu tangu TFF wavunje mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi.
Messi amesaini mkataba mnono kwa dau la milioni 50 na atakuwa analipwa mshahara wa Milioni 2 kwa mwezi.
Kabla ya kuingia katika mgogoro wa kimkataba na Simba, Wekundu wa Msimbazi walitaka winga huyo asaini mkataba wa miaka miwili kwa dau la milioni 30 na mshahara wa milioni 1.5,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND NDANI BURUNDI NI SHIIIIDA ZARI KAMA KAWA KAWA DAWA

Hapa Diamond akiwa na Zari wakitola kwenye uwanja wa ndege huko Burundi kama unavyoona Zari mkono kwa mkono na Diamond kama kawa kama dawa kiroho safi. Diamond yupo ndani ya Burundi kikazi zaidi kwa picha zaidi jitiririshe chini kwa kubofya soma zaidi kiroho safi. 
Picture by http://instagram.com/wcb_wasafi Picha kwa hisani ya DjChoka.

 

10 years ago

Vijimambo

HASSAN ISIHAKA NA RAMADHAN SINGANO KUFANYA MAJARIBIO REAL MADRID

kikosi cha wekundu wa Msimbazi
Endapo watafanikiwa kucheza timu ya vijana ya klabu tajiri duniani, Real Madrid ya Uhispania, basi itakuwa ni habari njema kwa soka la Tanzania, ambayo wachezaji wake kadhaa wamekuwa wakifeli majaribio ya kucheza soka la kulipwa ughaibuni, hasa nchi za Ulaya katika miaka ya nyuma.

Kufuatia tetesi za kutakiwa kwenda kufanya majaribio Real Madrid, mashabiki wa soka wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam wamewaombea wachezaji wao kila la kheri katika majaribio yao ili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Singano ‘Messi’ afichua siri ya mafanikio

KIUNGO nyota wa Wekundu wa Msimbazi, Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ ameitaja siri ya mafanikio yake dimbani kuwa ni kujituma, huku akikabidhi harakati zake mikononi mwa Mwenyezi Mungu, anayemuwezesha kufanya mambo...

 

9 years ago

Mwananchi

Mshahara wa Messi kufuru

Manchester, England, Si mchezo! Ndivyo, inavyofaa kueleza mshahara wa Sh2.6 bilioni atakaolipwa mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi endapo ataamua kutua Manchester City.

 

10 years ago

Mwananchi

UHAMISHO:Kumsajili Singano ‘Messi’ Sh50 milioni

Klabu ya Simba inatakiwa kufanya kazi kubwa na kufungua pochi ili kumshawishi mshambuliaji wake iliye na mgogoro naye wa kimkataba, Ramadhani Singano ‘Messi’ anasaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani