Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mshahara wa Messi kufuru

Manchester, England, Si mchezo! Ndivyo, inavyofaa kueleza mshahara wa Sh2.6 bilioni atakaolipwa mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi endapo ataamua kutua Manchester City.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAMADHAN SINGANO ‘MESSI’ KAWA MCHARO…HUU NDIO MSHAHARA WAKE MPYA NDANI YA AZAM FC


Stori kubwa leo hii ni aliyekuwa winga wa Simba SC, Ramadhan Singano ‘Messi’ kusaini mkataba wa miaka miwili katika klabu ya Azam fc, ikiwa ni siku mbili tu tangu TFF wavunje mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi.
Messi amesaini mkataba mnono kwa dau la milioni 50 na atakuwa analipwa mshahara wa Milioni 2 kwa mwezi.
Kabla ya kuingia katika mgogoro wa kimkataba na Simba, Wekundu wa Msimbazi walitaka winga huyo asaini mkataba wa miaka miwili kwa dau la milioni 30 na mshahara wa milioni 1.5,...

 

11 years ago

GPL

Aveva kufuru

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva akipokelewa na mashabiki wa timu ya Simba SC. Omary Mdose na Said Ally
KAZI imeanza babake! Wakati Yanga wakiwa bize na mazoezi baada ya ujio wa Kocha Marcio Maximo, upande wa pili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, naye ameanza kuonyesha makali kwa vitendo. Aveva ambaye amechukua madaraka hivi karibuni, ameanza kwa kulipa mishahara ya wachezaji wote wa timu hiyo na benchi la ufundi,...

 

11 years ago

GPL

MAHEKALU YA MAASKOFU KUFURU

Stori: Jelard Lucas na Makongoro Oging’
MTU akifanya jambo la kupita kawaida lakini zuri watu husema ‘amekufuru’, yaani amefanya kitu kizuri! Imezoeleka hivyo. Sasa kauli hiyo imekuja baada ya Uwazi kufanya uchunguzi wa kina na kuyabaini mahekalu ya maaskofu wa Bongo kwamba nayo ni kufuru! Katika uchunguzi huo, Uwazi lilitumia muda wa wiki mbili na kubaini kwamba, watumishi hao wa Mungu wapo vizuri na lile...

 

11 years ago

GPL

UTAJIRI WA MASANJA KUFURU!

Stori: Shakoor Jongo
UTAJIRI wa komediani maarufu Bongo,  Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa mbele ya usafiri na mjengo wake. HABARI MEZANI
Awali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani mwa gazeti...

 

9 years ago

GPL

BETHIDEI YA WEMA KUFURU!

Mkurugenzi  wa Endless Fame Wema Sepetu akiwa amesimama mbele ya meza iliyokuwa imesheheni keki alizokuwa amendaliwa katika sherehe ya kuadhimisha   siku yake ya kuzaliwa iliyofanyikia ndani ya Ukumbi wa Wema Sepetu Hall, uliyopo ndani ya jengo jipya la Millenium Tower. Meneja wa Wema (kushoto), Martin Kadinda, akimsaidia kukata moja ya  keki zilizokuwa zimeandaliwa muda mfupi kabla ya kuanza kuwalisha ndungu jamaa na...

 

11 years ago

GPL

HARUSI YA KANYE WEST KUFURU

Matukio mbalimbali ya sherehe hiyo katika picha. Wageni waalikwa wakiwa ndani ya ndege wakielekea Florence, Italia kwa ajili ya ndoa ya Kim na Kanye.…

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AFANYIWA KUFURU NIGERIA

Musa Mateja Na Andrew Carlos
Pasua anga! Staa grade one kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefanyiwa kufuru ya bonge la pati na msanii mwenzake kutoka nchini Nigeria, Kingsley Chinweike Okonkwo ‘KCEE’ Ijumaa Wikienda lina ubuyu kamili. Staa grade one kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu kilichosafiri na staa huyo ambaye...

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Wizara ya Fedha ni kufuru

Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka ujao wa fedha imetuthibitishia kitu kimoja kikubwa. Kwamba wizara hiyo inajiona iko juu ya wizara nyingine, hivyo kuziona shughuli zake kama kipaumbele pekee cha Taifa

 

10 years ago

GPL

BETHIDEI YA JACK DUSTAN KUFURU!

Imelda mtema Mrembo aliyepata jina kupitia Shindano la Maisha Plus, Season Two, Jacqueline Dustan amefanya kufuru kwenye pati yake ya kuzaliwa (bethidei) iliyofanyika kwenye Hoteli ya Peacock jijini Dar, wikiendi iliyopita. Jacqueline Dustan akiwa katika pozi. Sherehe hiyo iliyokuwa na vyakula na vinywaji vya kufa mtu, ilihudhuriwa na ‘mashosti’ mbalimbali wa Jack huku ikiendeshwa na mtangazaji maarufu Bongo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani