Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND AFANYIWA KUFURU NIGERIA

Musa Mateja Na Andrew Carlos
Pasua anga! Staa grade one kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefanyiwa kufuru ya bonge la pati na msanii mwenzake kutoka nchini Nigeria, Kingsley Chinweike Okonkwo ‘KCEE’ Ijumaa Wikienda lina ubuyu kamili. Staa grade one kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu kilichosafiri na staa huyo ambaye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHOPPING YA MTOTO WA DIAMOND KUFURU!

musa mateja KAMA ulishawahi kusikia neno kufuru na ukajua maana yake, basi ndiyo imefanywa na Mwanamuziki Bora wa Afrika Mashariki na Kati, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, baada ya kuteketeza mamilioni ya fedha kwa ajili ya kufanya ‘shopping’ ya nguo na vifaa mbalimbali vitakavyotumiwa na mwanaye ikiwa ni siku chache kabla mpenzi wake, Zarinah Hassani ‘Zari The Boss Lady’ kujifungua. ...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND AONYESHA KUFURU YA FEDHA BETHIDEI YA MAMA YAKE

Mama Diamond Bi Sanura akimlisha keki 'mkwewe' Wema Sepetu katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika jana. Keki iliyotolewa oda na Diamond iliyoandikwa ujumbe wake maalum.…

 

10 years ago

Bongo5

Diamond: Next stop NIGERIA #GloCAF_AWARDS

Baada ya kuujaza uwanja wa Amahoro, Kigali, Rwanda na kuwapagawisha watoto wa Kagame siku ya Mwaka mpya, star wa Bongo, Diamond Platnumz anatarajia kutua kwenye ardhi ya kina Davido na Wizkid wiki ijayo. Diamond ameweka wazi ratiba yake ya show zinazokuja ikiwemo moja ya Nigeria kwenye tuzo za ‘2014 Glo-CAF Awards’. “Thank you KIGALI / […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond kufanya video Nigeria

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ ameondoka nchini juzi usiku kwenda Nigeria kwa ajili ya kufanya video ya ngoma yake mpya ambayo hakutaka kuitaja jina. Katika...

 

9 years ago

Mtanzania

Mganda amshinda Diamond tuzo ya Nigeria

NEW kenzoYORK, MAREKANI

ALIYEKUWA mshindani mkubwa wa mkali wa muziki Afrika Mashariki na Kati, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, msanii kutoka Uganda, Eddie Kenzo, ndiye aliyeibuka mshindi katika tuzo za Nigeria Entertainment Awards 2015 (NEA) kipengele cha ‘African Artist of The Year’ walichokuwa wakishindania.

Mganda huyo alishinda tuzo hiyo katika kipengele hicho maalumu kwa wasanii wasio Wanigeria, Septemba 6 huko New York, Marekani ambapo tuzo hizo zilitolewa.

Licha ya Diamond kuwania...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO NYINGINE NIGERIA

Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine za kimataifa zinazofahamika kama ‘THE HEADIES 2014’, ambazo ni tuzo kubwa nchini Nigeria. Nasib Abdul ametajwa kuwania kipengele cha Msanii Bora wa Afrika (Best African Arstist) ambacho kinawaniwa na wasanii wa nje ya Nigeria. Katika kipengele hicho anashindana na Mafikizolo, Sarkodie na R2Bees.CREDIT:THECHOICE

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ALAMBA TUZO NYINGINE NCHINI NIGERIA

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo nyingine huko Lagos nchini Nigeria kutoka The Future Awards Africa Prize in Entertainment 2014. Tuzo hiyo ya Diamond ilipokelewa na Meneja wake Salaam na kwenye kipengele cha tuzo hiyo kulikuwa na wakali wengine wakiwemo Panshack au Ice Prince wa Nigeria na Michael Kwesi kutoka nchini Ghana. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND ANYAKUA TUZO NYINGINE NCHINI NIGERIA

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo nyingine huko Lagos nchini Nigeria kutoka The Future Awards Africa Prize in Entertainment 2014.
Tuzo hiyo ya Diamond ilipokelewa na Meneja wake Salaam na kwenye kipengele cha tuzo hiyo kulikuwa na wakali wengine wakiwemo Panshack au Ice Prince wa Nigeria na Michael Kwesi kutoka nchini Ghana.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond aliandika ujumbe huu: "Thanks God, we have cheated another one on the...

 

10 years ago

Michuzi

Diamond Platnumz alamba tuzo nyingine huko Nigeria

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz jana usiku aliweza kunyakua tuzo nyingine kutoka The Future Awards Africa 2014 huko jijini Lagos,Nigeria. Amelamba tuzo ya The Future Awards Africa Prize in Entertainment.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani