Diamond: Next stop NIGERIA #GloCAF_AWARDS
Baada ya kuujaza uwanja wa Amahoro, Kigali, Rwanda na kuwapagawisha watoto wa Kagame siku ya Mwaka mpya, star wa Bongo, Diamond Platnumz anatarajia kutua kwenye ardhi ya kina Davido na Wizkid wiki ijayo. Diamond ameweka wazi ratiba yake ya show zinazokuja ikiwemo moja ya Nigeria kwenye tuzo za ‘2014 Glo-CAF Awards’. “Thank you KIGALI / […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BDlvIDeZhzhZd4XKUXZXYV1VsPEx0ij5ki8jFMjs2MFF6ZBTFfbEDl1rZim2nScFhGyAcJNmEEKlIbEul6kEHOf1EuSvZUP*/zari.gif?width=650)
ZARI AWAPIGA ‘STOP’ NDUGU WA DIAMOND!
9 years ago
AllAfrica.Com07 Dec
Zimbabwe - Stop It Tanzania! Stop Provoking Us
IPPmedia
AllAfrica.com
Tanzania, please stop it. As our good first lady Dr Amai Soon-to-be-Professor Grace Mugabe says - please STOP IT!!! Stop trying to provoke us! From the time that your President, Dr John Pombe Magufuli (JPM), 55, was elected into office on October 25 ...
Can Magufuli convert potential into gains in Tanzania?NewsDay
Uncovered rot a sign of institutional failureIPPmedia
Be thankful you are not in Malawi Dr Magufuli, President of...
9 years ago
New Zimbabwe.Com06 Dec
Stop it, Tanzania! Stop provoking Zim
New Zimbabwe.com
New Zimbabwe.com
TANZANIA, please stop it. As our good first lady Dr Amai Soon-to-be-Professor Grace Mugabe says - please STOP IT!!! Stop trying to provoke us! From the time that your President, Dr John Pombe Magufuli (JPM), 55, was elected into office on October 25, ...
Lessons from a spider web: Why Obama wishes he was Magufuli right nowMail & Guardian Africa
Time for business sector to create robust partnership with govtIPPmedia
all 6
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Diamond kufanya video Nigeria
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ ameondoka nchini juzi usiku kwenda Nigeria kwa ajili ya kufanya video ya ngoma yake mpya ambayo hakutaka kuitaja jina. Katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wElhaJF9fXInZlnLFvGRa1DdeT6mZFl3wccTYLSAI-e61UukTYCNiCpT0Jk4Olb2pYdRJ*ne5Kp756Bw4*hrn41qEt6voKZw/diamond.gif?width=650)
DIAMOND AFANYIWA KUFURU NIGERIA
9 years ago
Mtanzania08 Sep
Mganda amshinda Diamond tuzo ya Nigeria
NEW YORK, MAREKANI
ALIYEKUWA mshindani mkubwa wa mkali wa muziki Afrika Mashariki na Kati, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, msanii kutoka Uganda, Eddie Kenzo, ndiye aliyeibuka mshindi katika tuzo za Nigeria Entertainment Awards 2015 (NEA) kipengele cha ‘African Artist of The Year’ walichokuwa wakishindania.
Mganda huyo alishinda tuzo hiyo katika kipengele hicho maalumu kwa wasanii wasio Wanigeria, Septemba 6 huko New York, Marekani ambapo tuzo hizo zilitolewa.
Licha ya Diamond kuwania...
10 years ago
GPLDIAMOND ALAMBA TUZO NYINGINE NCHINI NIGERIA
10 years ago
CloudsFM08 Dec
DIAMOND ANYAKUA TUZO NYINGINE NCHINI NIGERIA
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo nyingine huko Lagos nchini Nigeria kutoka The Future Awards Africa Prize in Entertainment 2014.
Tuzo hiyo ya Diamond ilipokelewa na Meneja wake Salaam na kwenye kipengele cha tuzo hiyo kulikuwa na wakali wengine wakiwemo Panshack au Ice Prince wa Nigeria na Michael Kwesi kutoka nchini Ghana.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond aliandika ujumbe huu: "Thanks God, we have cheated another one on the...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-pc6BPIjaF10/VCw9KlwsDRI/AAAAAAAAqSo/JzK-dJ913ik/s72-c/PLATINUM56.jpg)
DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO NYINGINE NIGERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-pc6BPIjaF10/VCw9KlwsDRI/AAAAAAAAqSo/JzK-dJ913ik/s640/PLATINUM56.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-CAo4F8KRl5g/VCw9HEWDRJI/AAAAAAAAqSY/jYY1mtktsQc/s640/headies-2014.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-HPvsEAtb8H4/VCw9HWzJZQI/AAAAAAAAqSc/4ZNzm7l1xIQ/s1600/headies.jpg)