Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipa Simba afunguka kuhusu ushoga

Kipa wa zamani wa Simba, Andrew Ntalla. Na Sweetbert Lukonge
WIKI iliyopita, kipa wa zamani wa Kagera Sugar na Simba, Andrew Ntalla alielezea mikasa aliyokutana nayo kwenye Klabu ya Simba, nyakati ngumu na ahadi hewa kutoka kwa viongozi waklabu hiyo likiwemo suala la kukosa mahali pa kuishi wakati aliahidiwa kupewa nyumba ya kuishi.
Endelea… NILIPOTOKA kwenye ile gesti ya Manzese ambayo walikuwa wamenipangia kisha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Kim Poulsen... afunguka kuhusu Simba

Kocha Kim Poulsen. Na Saleh Ally
KOCHA Kim Poulsen amefunguka kwa mara ya kwanza na kuweka wazi kuwa amefanya mazungumzo na Simba.Poulsen raia wa Denmark, amefanya mahojiano maalum na Championi Jumatano, jana mchana na kusema anaangalia kati ya ofa mbili, moja ya Simba na pili kwao Denmark na bado hajafikia uamuzi sahihi. Awali, gazeti hili liliandika kuhusiana na ujio wa Poulsen aliyewahi kuinoa Taifa Stars, anayekuja...

 

11 years ago

GPL

Dalali afunguka kuhusu kuwa mwenyekiti Simba

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali. Na Khadija Mngwai
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali, ameibuka na kusema kuwa bado anajifikiria juu ya kuamua kugombea au kutogombea nafasi hiyo kwa kuwa mwenyekiti wa sasa, Ismail Aden Rage, anamaliza muda wake na ameshatangaza kutogombea tena. Simba inatarajia kufanya uchaguzi wake mkuu Mei nne, mwaka huu baada ya muda wa uongozi wa Rage kumalizika huku...

 

11 years ago

Mwananchi

Kipa Berko awatoa shaka Simba

Kipa mpya wa Simba,Yaw Berko amewatoa shaka mashabiki wa timu hiyo baada ya kusema yuko fiti kusimama langoni na kuhakikisha hakuna bao linalotinga wavuni wakati wa mchezo dhidi ya Yanga

 

11 years ago

GPL

Yanga, Simba zamwania kipa Mtibwa

Kipa wa Mtibwa Sugar, Hussein Shariff ‘Casillas’. Na Hans Mloli
SIMBA na Yanga zimeingia kwenye vita moja ya usajili kwa mara nyingine baada ya kila mmoja kuhitaji huduma ya kipa wa Mtibwa Sugar, Hussein Shariff ‘Casillas’, kwa ajili ya kuvitumikia vikosi vyao kwenye msimu ujao wa ligi. Vuguvugu hilo la usajili wa kipa huyo linakuja baada ya timu zote mbili kuwa na matarajio ya kupoteza makipa wao,...

 

9 years ago

Mwananchi

Kipa APR aziota Yanga, Simba

Kipa namba moja wa Rwanda na APR, Olivier Kwizera amesema anatamani siku moja kucheza katika Ligi Kuu Tanzania Bara na akitaka siku moja kuja kuichezea Yanga au Simba.

 

9 years ago

Habarileo

Kipa Simba achimba mkwara Ligi Kuu

KIPA wa kimataifa wa Simba, Vicent Angban, amesema kama ataendelea kupangwa kuidakia timu hiyo kwenye mechi za Ligi Kuu ya Tanzania bara ana uhakika wa kubeba tuzo ya kipa bora msimu huu kwa kua hajaona mshambuliaji wa kumhofia.

 

11 years ago

GPL

Kipa Barthez asaini Simba miaka miwili

Kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’. Na Musa Mateja
SIKU moja kabla ya kuumana na Simba, Championi Ijumaa limepata taarifa za uhakika kuwa kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’ amefikia makubaliano ya kuondoka klabuni hapo na sasa ataichezea Simba msimu ujao. Barthez ambaye amekuwa na wakati mgumu wa kupata nafasi kwenye kikosi cha Yanga hivi sasa, imeelezwa kuwa ameshaafikiana na Yanga kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kerr aomba Simba apewe kipa mpya

Klabu ya Simba inahaha kusaka kipa mpya mzoefu atayesaidiana na Ivo Mapunda baada ya kocha mkuu, Dylan Kerr kubaini upungufu mkubwa katika nafasi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani