Yanga, Simba zamwania kipa Mtibwa
![](http://api.ning.com:80/files/ojSCGs3jvX1KFU6WTUn0TdeLiw1nhRbT0kkAHnnz1KxtXHDCMM1QMwgfnEys9CeBz50bMRxkcit5Xy6IpLqXQ-yV1xhLXAu6/YANGA.jpg?width=650)
Kipa wa Mtibwa Sugar, Hussein Shariff ‘Casillas’. Na Hans Mloli SIMBA na Yanga zimeingia kwenye vita moja ya usajili kwa mara nyingine baada ya kila mmoja kuhitaji huduma ya kipa wa Mtibwa Sugar, Hussein Shariff ‘Casillas’, kwa ajili ya kuvitumikia vikosi vyao kwenye msimu ujao wa ligi. Vuguvugu hilo la usajili wa kipa huyo linakuja baada ya timu zote mbili kuwa na matarajio ya kupoteza makipa wao,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi02 Dec
Kipa APR aziota Yanga, Simba
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Mtibwa yazishukia Simba, Yanga
10 years ago
TheCitizen08 Feb
Simba held, Yanga take on Mtibwa
9 years ago
Habarileo29 Sep
Yanga: Mtibwa bora kuliko Simba
YANGA imesema kuwa Mtibwa Sugar ni bora zaidi ya Simba pamoja na ukongwe wa timu hiyo yenye maskani yake katika Barabara ya Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam. Jumamosi iliyopita, Simba ilipokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa watani zao, Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Michuzi30 Dec
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Kipa Berko awatoa shaka Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwm1fj0xdPSt6Z28lyz3GI5H2BXU1SoN5fOIpS4uivUYB6LalC-9zMUd7mcmzdFsbEcxvL0PFJzCq3zK1bhs*JEP/KIPA.jpg?width=650)
Kipa Simba afunguka kuhusu ushoga
10 years ago
Mwananchi15 Jul
Kerr aomba Simba apewe kipa mpya
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwlzDvRWJ5ZSsq*JgPr9UwLcA2Gm1MUTORrSPnqbFfWkCOAoE8GKY5McvNMrhx5Nu-1n5wHKpep7ArAi*RRru*WB/1.jpg?width=650)
Kipa Barthez asaini Simba miaka miwili