Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barthez anukia Simba

‘Nenda, rudi’ za kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’ zinakaribia kutimia baada ya kipa huyo kuanza mazungumzo na Simba ili arejee tena Mtaa wa Msimbazi kuichezea klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Kipa Barthez asaini Simba miaka miwili

Kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’. Na Musa Mateja
SIKU moja kabla ya kuumana na Simba, Championi Ijumaa limepata taarifa za uhakika kuwa kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’ amefikia makubaliano ya kuondoka klabuni hapo na sasa ataichezea Simba msimu ujao. Barthez ambaye amekuwa na wakati mgumu wa kupata nafasi kwenye kikosi cha Yanga hivi sasa, imeelezwa kuwa ameshaafikiana na Yanga kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Balotelli wa Azam anukia Simba

KAMATI ya Usajili ya Klabu ya Simba iko katika harakati za kimya kimya za kumrejesha kikosini nyota wake wa zamani, Jamil Mchaulu ‘Balotelli’ anayekichezea kikosi cha Azam FC cha vijana...

 

10 years ago

Mwananchi

Kim anukia Simba, Hall atua Azam

Dar es Salaam. Wakati Simba ikiendelea na mchakato wa kusaka kocha mpya na majina ya makocha saba yakitajwa, kocha wa zamani wa Taifa Stars, Kim Poulsen akipewa nafasi kubwa ya kupewa kibarua hicho, Azam imetangaza kumrejesha Stewart Hall kuwa kocha mpya.

 

11 years ago

TheCitizen

Kaseja, ‘Barthez’ on their way out

Young Africans plan to bolster their squad with the signing of a back-up goalkeeper, a move that will see Juma Kaseja and Ally Mustafa frozen out.

 

9 years ago

Habarileo

Pondamali amfagilia Barthez

KOCHA wa makipa wa Yanga, Juma Pondamali amempongeza kipa namba moja wa timu hiyo na timu ya taifa ‘Taifa Stars’ Ally Mustaph ‘Barthez’ kwa kazi nzuri anayoifanya akiwa kwenye timu hizo.

 

10 years ago

GPL

Domayo naye anukia Yanga

Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo. Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam
BAADA ya kuelezwa kuwa straika wa Azam FC, Didier Kavumbagu yupo mbioni kurejea kwenye kikosi cha Yanga, habari nyingine ni kuwa kiungo wa Azam FC, Frank Domayo, naye anadaiwa kuwa kwenye njia ya kurejea kurudi katika klabu yake hiyo ya zamani. Domayo ambaye alijiunga na Azam mwanzoni wa msimu huu akitokea Yanga, inadaiwa kuwa amekuwa katika hali tata ya kutokuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Bobby’ anukia Taifa Stars

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linafanya mpango ili kocha wa klabu ya Gor Mahia ya Kenya, Robert ‘Bobby’ Williamson raia wa Scotland, achukue jukumu la kuinoa Taifa Stars.

 

9 years ago

Mtanzania

Samatta anukia ufungaji bora Afrika

samataNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MTANZANIA Mbwana Samatta, anayekipiga katika timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, amebakisha mabao mawili tu kuweza kutwaa kiatu cha ufungaji bora wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka huu.

Mpaka sasa timu yake ikiwa imeingia fainali ya michuano hiyo, Samatta anashika nafasi ya pili kwenye chati ya ufungaji bora akiwa na mabao sita, sawa na Mouhcine Iajour wa timu ya Moghreb Tetouan ya Morocco iliyotolewa, anazidiwa bao moja tu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani