Balotelli wa Azam anukia Simba
KAMATI ya Usajili ya Klabu ya Simba iko katika harakati za kimya kimya za kumrejesha kikosini nyota wake wa zamani, Jamil Mchaulu ‘Balotelli’ anayekichezea kikosi cha Azam FC cha vijana...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 May
Kim anukia Simba, Hall atua Azam
11 years ago
Mwananchi01 May
Barthez anukia Simba
10 years ago
GPLDomayo naye anukia Yanga
11 years ago
Mwananchi04 Mar
‘Bobby’ anukia Taifa Stars
10 years ago
MichuziSimba yaifunga Azam FC 2-1
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Azam yaitisha Simba
NA ZAINAB IDDY
TIMU ya Azam FC imewatangazia hali ya hatari Simba katika mechi yao ya Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayochezwa Desemba 12 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Azam imetamba kuinyuka Simba katika mchezo huo, ambapo hadi sasa vinara hao wa ligi kuu wamefikisha pointi 25, wapinzani wao hao wakishika nafasi ya nne wakiwa na pointi 21 katika mechi tisa walizocheza kila mmoja.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi, Ofisa Habari wa Azam, Jaffar Idd, alisema maandalizi yao kwa...
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Samatta anukia ufungaji bora Afrika
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MTANZANIA Mbwana Samatta, anayekipiga katika timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, amebakisha mabao mawili tu kuweza kutwaa kiatu cha ufungaji bora wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka huu.
Mpaka sasa timu yake ikiwa imeingia fainali ya michuano hiyo, Samatta anashika nafasi ya pili kwenye chati ya ufungaji bora akiwa na mabao sita, sawa na Mouhcine Iajour wa timu ya Moghreb Tetouan ya Morocco iliyotolewa, anazidiwa bao moja tu na...
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Azam yapaa, Simba aibu
10 years ago
Mtanzania04 May
Simba, Azam ‘watauana’ Caf
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba imerudisha matumaini ya kushiriki michuano ya kimataifa mwakani baada ya kuwachapa wapinzani wao, Azam FC mabao 2-1 mchezo uliofanyika jana Uwanja wa Taifa jijini hapa.
Simba na Azam zipo kwenye vita kali ya kuwania nafasi ya pili ili kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho mwakani, ambapo wekundu hao wameshindwa kukata tiketi ya michuano ya kimataifa toka mwaka juzi waliposhiriki mara ya mwisho.
Azam ambayo mara baada ya mchezo huo imebakiwa na...