Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kim anukia Simba, Hall atua Azam

Dar es Salaam. Wakati Simba ikiendelea na mchakato wa kusaka kocha mpya na majina ya makocha saba yakitajwa, kocha wa zamani wa Taifa Stars, Kim Poulsen akipewa nafasi kubwa ya kupewa kibarua hicho, Azam imetangaza kumrejesha Stewart Hall kuwa kocha mpya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Balotelli wa Azam anukia Simba

KAMATI ya Usajili ya Klabu ya Simba iko katika harakati za kimya kimya za kumrejesha kikosini nyota wake wa zamani, Jamil Mchaulu ‘Balotelli’ anayekichezea kikosi cha Azam FC cha vijana...

 

9 years ago

Mtanzania

Azam yaifungia kazi Simba, Hall kicheko

azam-1NA MWANDISHI WETU

TIMU ya Azam imewafungia kazi wapinzani wao Simba kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) Jumamosi hii baada ya kupanga programu kali kwa wachezaji wake.

Azam FC ilianzia maandalizi yake ya nguvu mkoani Tanga kwa kambi ya siku tano na kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Mgambo JKT na African Sports, zote zikiisha kwa sare ya bao 1-1 kabla ya kurejea jijini Dar es Salaam jana.

Katika kujiandaa zaidi na mchezo huo muhimu dhidi ya Simba, leo saa...

 

11 years ago

Mwananchi

Barthez anukia Simba

‘Nenda, rudi’ za kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’ zinakaribia kutimia baada ya kipa huyo kuanza mazungumzo na Simba ili arejee tena Mtaa wa Msimbazi kuichezea klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili.

 

11 years ago

GPL

Mkenya mchana nyavu atua Simba atua

Kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Mkenya, Modo Kiongera, Na Hans Mloli
MSIMBAZI noma! Hatimaye kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Mkenya, Modo Kiongera, ametua nchini jana Jumapili tayari kwa kumalizana na Simba, lakini kikubwa amedai kwamba anaisubiri Yanga. Kiongera, ambaye msimu uliopita alikuwa akiichezea Kenya Commercial Bank (KCB) ya Kenya, anatarajiwa kusaidiana na Amissi Tambwe kuhakikisha Simba inakuwa na safu imara...

 

10 years ago

TheCitizen

Azam confirm the return of Hall

Dar es Salaam. Azam FC have re-hired Stewart Hall as their head coach, barely a year after parting ways mutually.

 

9 years ago

Mwananchi

Hall awaandaa Azam kucheza ‘kiwanja kibovu’

Kocha wa Azam, Stewart Hall amesema vijana wake wamejiandaa vilivyo kuhakikisha wanapata ushindi katika mchezo wao wa kesho dhidi ya Majimaji ugenini.

 

9 years ago

TheCitizen

Azam’s Hall focuses on Confederation Cup landmarks

Azam FC English coach, Stewart Hall has said that his side determines to reach the CAF Confederation Cup final next year.

 

11 years ago

Mwananchi

Hall: Simba, Yanga aibu

Kocha wa zamani wa Azam FC, Stewart Hall amewaponda viongozi wa klabu za Simba na Yanga kwa kusema ndio wanaoziharibu timu hizo kisha kuwatwisha mzigo makocha wao.

 

11 years ago

Mwananchi

Kim Poulsen aishauri Azam FC

Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen amesema amefurahishwa na ushindi iliopata Azam dhidi ya Ferroviario ya Msumbuji, lakini ameitaka ifanye maandalizi ya maana kabla ya pambano la marudiano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani