Mkenya mchana nyavu atua Simba atua
![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRmHe3qqKdIwR-O0Bp4L4xd58-6ul7hvQJ5gugsxzYLfg3v7XK6q1gynQCygVTL*ETAd8tgk0URQlnUTqPAXffG1/mkenya.jpg)
Kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Mkenya, Modo Kiongera, Na Hans Mloli MSIMBAZI noma! Hatimaye kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Mkenya, Modo Kiongera, ametua nchini jana Jumapili tayari kwa kumalizana na Simba, lakini kikubwa amedai kwamba anaisubiri Yanga. Kiongera, ambaye msimu uliopita alikuwa akiichezea Kenya Commercial Bank (KCB) ya Kenya, anatarajiwa kusaidiana na Amissi Tambwe kuhakikisha Simba inakuwa na safu imara...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p9piKYn1mVKQj4dz0IqAZbIMbdneiK1R50aGHOq4fy249mJbGHLMXfaE0g-I9Kh4sfRdzCzf9-3Z-6lRN8yCN5*byu9s5x5*/Untitled1.jpg)
Mkenya atua Simba SC, Matola out
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
T.I ATUA DAR MCHANA WA LEO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJBpb1nD*k6CjNPU-yZCpX2h76ZZFwjzEta3T2S9j5nQ1EPYF55TOgpmgyu-tqSCr6d46F0Ehy419*r9TKG3JUDm/DOMAYOO.gif?width=650)
Mrithi wa Domayo atua leo mchana
9 years ago
Habarileo02 Dec
Majwega atua Simba
MCHEZAJI Brian Majwega raia wa Uganda sasa yupo huru kucheza Simba katika Ligi Kuu bara. Kwa takriban wiki mbili sasa kumekuwa na mgogoro kati ya Simba na Azam FC kuhusu mchezaji huyo aliyesajiliwa na Azam mwanzoni mwa mwaka huu.
10 years ago
Habarileo02 Aug
Kiungo Mzimbabwe atua Simba
KIUNGO mkabaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Justice Majabvi aliwasili jana na kwenda moja kwa moja katika kambi ya Simba iliyopo Zanzibar.
10 years ago
BBCSwahili07 Jul
Kiiza atua rasmi Simba
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Beki Simba atua African Lyon
KLABU ya African Lyon ya jijini Dar es Salaam, ambayo inashiriki Ligi Daraja la Kwanza Taifa (FDL), imemsajili beki wa Simba, Hassan Isihaka kwa mkataba wa miaka mitatu wenye thamani...
9 years ago
Mwananchi29 Nov
Lyanga atua Simba, Miraji aondoka
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/s3yECVD-Xt7815bpcbUZ8PVkVYFRi4Tjo3m9E7djLFENfVIdI5hebIjzIrQRDKBtTkRdMPq3dXkaAhSZf0tqpTtIMax0OK7T/11.jpg?width=650)
Straika atua Simba kwa ndege