Mkenya atua Simba SC, Matola out

Kocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola. Na Waandishi Wetu UONGOZI wa Simba umelazimika kuachana na kocha msaidizi, Selemani Matola na tayari kuna taarifa kuwa nafasi yake itachukuliwa na Mkenya, Yusuf Chippo ambaye aliwahi kuifundisha Coastal Union ya Tanga. Simba imefikia hatua hiyo baada ya kujadili kwa kina barua aliyoiandika Matola kwa viongozi wake kutaka kupumzika ili kutatua matatizo ya kifamilia lakini pia akiomba au...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
Mkenya mchana nyavu atua Simba atua
11 years ago
GPL
Matola, Pazi wachunguzwa Simba
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Matola ajiuzulu ukocha Simba
11 years ago
GPL
Matola Kocha Mkuu Simba
9 years ago
Habarileo13 Nov
Matola abwaga manyanga Simba
HALI si shwari ndani ya timu ya soka ya Simba, baada ya jana Kocha Msaidizi Suleiman Matola kujiuzulu wadhifa huo. Matola, kiungo mahiri na nahodha wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa, amechukua uamuzi huo kutokana na kutokuwa na maelewano na Kocha Mkuu wake raia wa Uingereza, Dylan Kerr.
11 years ago
GPLMatola akabidhiwa mikoba ya Loga Simba
10 years ago
Habarileo23 Oct
Matola akubali yaishe kipigo Simba
KOCHA Msaidizi wa Simba, Suleiman Matola, amesema hawakutarajia kupoteza mchezo dhidi ya Prisons lakini wanajipanga kwa ajili ya michezo ijayo.
9 years ago
Habarileo18 Nov
Kerr adai Matola si pengo Simba
KOCHA wa timu ya soka ya Simba, Dylan Kerr amesema kuondoka kwa msaidizi wake, Selemani Matola hakujaacha pengo na kwamba ana uhakika ataendelea kuifundisha timu hiyo na kuipa mafanikio makubwa katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
10 years ago
Habarileo29 Oct
Matola aomba sapoti kwa mashabiki Simba
KOCHA msaidizi wa Simba, Selemani Matola, amewataka mashabiki wa timu hiyo kuendelea kuipa sapoti yao, kwani bado ina nafasi ya kufanya maajabu kwa kubeba ubingwa wa Tanzania Bara msimu huu.