Matola, Pazi wachunguzwa Simba
![](http://api.ning.com:80/files/Dy9ynGgwNlSby1nVIIa6a0oQBmQL3fwXRlEMZYa6wijBtJ7PoeT-DiAUkHcFqZu0bdl7RQHAlwYS16Lc5EEin9vfsUXaQFu2/matola.jpg)
Kocha mzawa wa kikosi cha Simba, Selemani Matola. Martha Mboma na Sweetbert Lukonge MAKOCHA wazawa wa kikosi cha Simba, Selemani Matola na Idd Pazi, wanachunguzwa na uongozi wa klabu hiyo baada ya kudaiwa kuwa wanaihujumu ili ishindwe kufanya vizuri katika mechi zake za Ligi Kuu Bara. Makocha hao pia waliwahi kuitumikia Simba kama wachezaji miaka ya nyuma na sasa ni makocha wakisaidiana na Mzambia, Patrick Phiri kukinoa kikosi...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo13 Nov
Matola abwaga manyanga Simba
HALI si shwari ndani ya timu ya soka ya Simba, baada ya jana Kocha Msaidizi Suleiman Matola kujiuzulu wadhifa huo. Matola, kiungo mahiri na nahodha wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa, amechukua uamuzi huo kutokana na kutokuwa na maelewano na Kocha Mkuu wake raia wa Uingereza, Dylan Kerr.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox4LTkjAhfmIn0-*M1V8hWF9CWWuwKV-DLh7j8FKflEQk0WmEFVC8MTcdUw9OOTJ2eQgy0RMnUwUvnCMkjgt-1pi/matola.jpg?width=650)
Matola Kocha Mkuu Simba
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Matola ajiuzulu ukocha Simba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p9piKYn1mVKQj4dz0IqAZbIMbdneiK1R50aGHOq4fy249mJbGHLMXfaE0g-I9Kh4sfRdzCzf9-3Z-6lRN8yCN5*byu9s5x5*/Untitled1.jpg)
Mkenya atua Simba SC, Matola out
11 years ago
GPLMatola akabidhiwa mikoba ya Loga Simba
9 years ago
Habarileo23 Oct
Matola akubali yaishe kipigo Simba
KOCHA Msaidizi wa Simba, Suleiman Matola, amesema hawakutarajia kupoteza mchezo dhidi ya Prisons lakini wanajipanga kwa ajili ya michezo ijayo.
9 years ago
Habarileo18 Nov
Kerr adai Matola si pengo Simba
KOCHA wa timu ya soka ya Simba, Dylan Kerr amesema kuondoka kwa msaidizi wake, Selemani Matola hakujaacha pengo na kwamba ana uhakika ataendelea kuifundisha timu hiyo na kuipa mafanikio makubwa katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
9 years ago
Habarileo29 Oct
Matola aomba sapoti kwa mashabiki Simba
KOCHA msaidizi wa Simba, Selemani Matola, amewataka mashabiki wa timu hiyo kuendelea kuipa sapoti yao, kwani bado ina nafasi ya kufanya maajabu kwa kubeba ubingwa wa Tanzania Bara msimu huu.
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Mserbia amrithi Idd Pazi Simba
UONGOZI wa Klabu ya Simba chini Rais wake Evance Aveva, umempa mkataba wa miezi miwili kocha mpya wa makipa, Mserbia Zdravkomr Djekic. Uteuzi wa Mserbia huyo umekuja siku chache tu...